Namungo na Simba ni mechi ya maigizo, Mgunda hajawahi ifunga Simba akiwa na kikosi chochote, tunajua ni tawi kama Tabora na Coastal Union

Makocha wanapofukuzwa kwa kutotimiza wajibu ndio uwa wanatafuta wa kufa nae,,ata Patrick ausems alivyokuzwa Simba alisema viongozi wenu ni tatizo wanampangia kikosi kwaiyo na yeye alikuwa right?
Kwa hiyo wewe pekee ndiyo unajua ukweli, mwingine yoyote akisema kitu ikiwemo facts za matokeo ya mechi anadanganya na anatumia hisia. Unapenda kuishi katika dunia ya kusadikia.
 
Kwa hiyo wewe pekee ndiyo unajua ukweli, mwingine yoyote akisema kitu ikiwemo facts za matokeo ya mechi anadanganya na anatumia hisia. Unapenda kuishi katika dunia ya kusadikia.
Tunasema hivi Kila timu ishinde mechi zake yaani nyie huo muda mnaoutumia kumlaumu singida mngeutumia kuiandaa timu yenu uko,,akuna tusichokijua juu yenu na mnachokifanya tutaendelea kupiga utosini mpaka nyoka akate moto,,mlianzisha sisi tutamaliza
 
naona mnahaha hapo kileleni ni masaa tu mnashushwa
 
Tunasema hivi Kila timu ishinde mechi zake yaani nyie huo muda mnaoutumia kumlaumu singida mngeutumia kuiandaa timu yenu uko,,akuna tusichokijua juu yenu na mnachokifanya tutaendelea kupiga utosini mpaka nyoka akate moto,,mlianzisha sisi tutamaliza
Eti mlianzisha sisi tunamaliza. Kwa misimu mitatu sasa mmefaidika kwa huu udanganyifu.

Unaongea utadhani una umuhimu wowote katika timu kumbe uko Kalumbaleza huko ndani ndani unashindia jezi ya chura ya mwaka juzi.

Kimataifa umetolewa kwa aibu. Sijui hata huo ujasiri wa kubishana mitandaoni unautoa wapi.
 
Wote ni wachafu
 
Ndo utajua hujui kama Niko uko ama nipo kwenye timu iyo aikuhusu na Wala aitokusaidia chochote labda tu endelea kubweka nakupa pole sana kijana wa mangungu usilolijua ni kama usiku wa Giza!
 
Ndo utajua hujui kama Niko uko ama nipo kwenye timu iyo aikuhusu na Wala aitokusaidia chochote labda tu endelea kubweka nakupa pole sana kijana wa mangungu usilolijua ni kama usiku wa Giza!
Wenzio wameshajua msimu umepotea wewe uko busy kutetea ujinga mitandaoni. Hata kwenye harusi sikuoni halafu unajifanya una umuhimu kwenye timu.
 
Wenzio wameshajua msimu umepotea wewe uko busy kutetea ujinga mitandaoni. Hata kwenye harusi sikuoni halafu unajifanya una umuhimu kwenye timu.
Wenzangu kina nani? Kina mangungu na Jaribu Tena ama? Maana hao ndio wanajua Awana chao wamejaribu kuchokoza nyuki na vikamati vyao vya ubaya ubwela wamepigwa kombora Moja tu la atomic sasa hivi wanatafutana uko,,wanaangaika na njia mbadala but too late!
 
Wenzio wameshajua msimu umepotea wewe uko busy kutetea ujinga mitandaoni. Hata kwenye harusi sikuoni halafu unajifanya una umuhimu kwenye timu.
Alafu kawaulize viongozi wako kwamba Ile kamati ya fitina iliyopewa kazi inayoongozwa na Hassan dalali inaferi wapi,,mbona inazidiwa Kila siku wasije wakawa wanazipiga pesa za mhindi na kazi aifanyiki ipasavyo,,nyie ni wachache sana mnapigana vita msiyoiweza nawaambia!
 
Kama kufeli ndiyo huku, kufaulu sijui kunafananaje.
 
Haya mambo ya kijinga sana, hapa Tanzania hizi timu nyingine kuzifunga Yanga, Azam na Simba ni kubahatisha tu. Hivi kweli unakwenda uwanjani ukiamini Namungo atamfunga Simba au Yanga. Tuwe na uhalisia, kiuwekezaji hizi timu nyingine ni wasindikizaji.
 
Wambie hata mwaka jana alleluia simba isicheze klabu bingwa ni namungo mshasahau golini ayoub lakred
 
Si walitaka singida ndio iwasaidie kazi ya kuifunga yanga wakati wao wameshindwa sijui hizi akili waliziazima wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…