Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Namungo ni dhaifu au sio dhaifu?

Yanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Hzi tuhuma Ni za kipumbavu mno haikubaliki Hili
 
Kweli wewe ni Tui la nazi.
Club Africain kapigwa kwao
Tp Mazembe kapigwa nje ndani
Marumo kapigwa nje ndani
USMA kapigwa kwao
Rivers united kapigwa Taifa
Monastir kapigwa taifa
Real Bamako kapigwa taifa
Al Merrikh kapigwa Kigali

Nyie endelezeni propaganda ila mkija kustuka kuhusu kupiga hatua kwa Yanga, mtakuwa mmeshachelewa. Msimu uliopita mlisema shirikisho ni kwa vibonde ila klabu bingwa ndio kwa wanaume, haya Yanga makundi mguu mmoja upo ndani. Msije badilisha maneno huko mbeleni japokuwa tumejionea bingwa wa klabu bingwa akigalagazwa na bingwa kombe la vibonde.
Aisee uko vzr Sana mban sikuonagi kwenye jukwaa la michezo mnk una statistics nzuri snaa dhid ya yanga
 
Back
Top Bottom