Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
halafu ikashinda 😁Ile Ngao ya Jamii ambayo tulishuhudia timu moja ikipelekewa moto ndani ya dakika zote 90 za mchezo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu ikashinda 😁Ile Ngao ya Jamii ambayo tulishuhudia timu moja ikipelekewa moto ndani ya dakika zote 90 za mchezo!!
Ilishinda huku ikiwa haina furaha! Na mpaka kesho hali imebakia kuwa hivyo.halafu ikashinda 😁
halafu iliyoshindwa ikatoka uwanjani na furaha! 😁Ilishinda huku ikiwa haina furaha! Na mpaka kesho hali imebakia kuwa hivyo.
Hzi tuhuma Ni za kipumbavu mno haikubaliki HiliYanga wamefanya mbinu za kuweka watu wao kwenye uongozi wa timu za ligi kuu.Huu mchezo utaendelea kesho kwa kiongozi wa Namungo Omari Kaaya kupokea maagizo.Wamefanya pia kwa Tabora United na Thabit Kandoro.Wote ni viongozi wa kamati za Yanga na wanachama hai.Mpira wa Tanzania una safari ndefu.
Aisee uko vzr Sana mban sikuonagi kwenye jukwaa la michezo mnk una statistics nzuri snaa dhid ya yangaKweli wewe ni Tui la nazi.
Club Africain kapigwa kwao
Tp Mazembe kapigwa nje ndani
Marumo kapigwa nje ndani
USMA kapigwa kwao
Rivers united kapigwa Taifa
Monastir kapigwa taifa
Real Bamako kapigwa taifa
Al Merrikh kapigwa Kigali
Nyie endelezeni propaganda ila mkija kustuka kuhusu kupiga hatua kwa Yanga, mtakuwa mmeshachelewa. Msimu uliopita mlisema shirikisho ni kwa vibonde ila klabu bingwa ndio kwa wanaume, haya Yanga makundi mguu mmoja upo ndani. Msije badilisha maneno huko mbeleni japokuwa tumejionea bingwa wa klabu bingwa akigalagazwa na bingwa kombe la vibonde.
Hahaaaaa😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2755858
AiseeeeKimba fc