Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Wewe wasemaKwa hiyo unataka amuue mkewe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe wasemaKwa hiyo unataka amuue mkewe?
Kaka habari!Yaani akiniambia maneno hayo, na mahusiano yanaishia hapo hapo. Alijirudi kukushawishi kuwa alitania Ila kiuhalisia hatanii huyo. Atakunyofoa kende, kukata shingonyako au kukuchoma visu.
Natamani huyo mke ungekuwa wewe ili nikuue vizuriWewe wasema
kwanini usiwashirikishe tu pamoja na ndugu zako ? au unamjua vizuri kua hawezi kufanya ivyo?Wazazi wake hawatasema nimuache mana ananitishia maisha, zaidi watafanya kumsema sema tu but the core nature km anamaanisha itakua ipo
Uongo tuSaikolojia inasema mwanamke akisema jambo atalitekeleza hata kama ni baada ya miaka 20 bila kujali athari zake zitakuwaje ....hivyo bro chukua hatua atakuja kukuua kweli hilo shika kichwani.
Mwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Anakufanya uwe na nidhamu ya hali ya juu katika ndoa! Safi kabisa nampongeza,anailinda ndoa yake kwa gharama yo yote.
Hata asipokutamkia hayo akiamua akue anaweza! Kumbuka chakula anachokupikia ni siri yake,anaweza kuweka sumu ukila akafa bila kujua.Tuwaheshimu wake zetu kwa kuwa Mungu ameweka hofu ya Mungu ndani yao,lakini wakisema watumalize wanaweza.Hiyo sio nidhamu anamjengea uoga tu.
Mwanamke akithubutu kuinua mdomo kunitamkia upuuzi huo ajue ndo tumemalizana
Wanaume wenye maamuzi magumu tupo wachache sana ndio maana huyu jamaa kaja kulialia humu
Ohooooobaada ya kuona niko na hofu alinambia ananitania hawezi fanya hivyo. hofu yangu ni kua dada ake ananambia aliwahi kumwagia ndugu yake chai ya moto alipokua na hasira. sasa niki reflect hayo matukio nahisi kama anamaanisha vile