Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
It was necessary! Hii ndoa ilikuwa ni lazima ife! Isingekufa mabaya zaidi yangetokeaNiliwah kuwa na mke wa hiv bahati nzur nilikuwa naishi na wazazi,wazazi walifanya juu chini mpaka tukaachana
Aliwah kujitia kitanzi mara mbili nikawa namuokoa tatzo likiwa ni simu akisikia maex wananiomba hela inakuwa ni tatzo
Baada ya kujaribu hzo mara mbili namuokoa baadae aliniambia hatajidhuru tena bali ataniua mimi,wazazi niliwaambia hii sentensi wakaamua kuivunja ndoa
Acha uoga dogo ww jilipue tuMwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Hebu jaribu kuchepuka tumwone kama atakuuaMwandani wangu amesema endapo akisikia tu ninamchepuko ataniua tena nikiwa usingizini, anasema hata niuliza atachunguza kisiri siri then akiwa na ushahidi ataniua.
Kwamba ni bora asinione kabisa, nimemuuliza kuhusu yeye kufungwa jela anasema hio hajali kikubwa asinione. Nimemwambia akisikia aniulize kwanza anasema kua akiniuliza nitamdanganya.
kuhusu dhambi ya kuua anasema Mungu anasamehe zambi zote. nimekua na hofu sana kwa sasa nadhani anaweza kua anamaanisha ingawa mazungumzo yalikua casual.
Ndugu zangu hasa baba na mama walifanya juhudi sana kututenganisha ila mimi nilkuwa namwonea huruma sana maana kwao hapako vizur yemweye yupo yupo tuIt was necessary! Hii ndoa ilikuwa ni lazima ife! Isingekufa mabaya zaidi yangetokea
Unasemaje?Ukichepuka na akuue tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 Si ndio!Unasemaje?
🤣🤣🤣🤣🤣 Si ndio!
HAKUNA UTANI WA IVO R.I.P tangulia huko pepon ukale mabikra 70 wenye macho ya vikombe usisahau kuchukua alikasusu mujarabu sheikh[emoji12]
Kwa hiyo unataka amuue mkewe?Means hata akisikia tu maneno ya uongo kuhusu wewe atakuua.
No way out, hata ukimwacha atakuua pia.
Kwa upuuzi wake make sure atakutangulia, I'm sorry.