Namuogopa mke wangu, anaweza kuniua

Yaani akiniambia maneno hayo, na mahusiano yanaishia hapo hapo. Alijirudi kukushawishi kuwa alitania Ila kiuhalisia hatanii huyo. Atakunyofoa kende, kukata shingonyako au kukuchoma visu.
Kaka habari!
 
[emoji23][emoji23] katiba ikubane ,tozo ikubane,serikali iseme we ni mwananchi wake Tena halili, na Tena mke wako aseme ww ni mme wake Kwa lazima[emoji23] ,Kwa kwel haupo huru.
 
Kimbilia Kenya au Rwanda,au hamia mbali asikutafute kirahisi.
 
Saikolojia inasema mwanamke akisema jambo atalitekeleza hata kama ni baada ya miaka 20 bila kujali athari zake zitakuwaje ....hivyo bro chukua hatua atakuja kukuua kweli hilo shika kichwani.
 
Wazazi wake hawatasema nimuache mana ananitishia maisha, zaidi watafanya kumsema sema tu but the core nature km anamaanisha itakua ipo
kwanini usiwashirikishe tu pamoja na ndugu zako ? au unamjua vizuri kua hawezi kufanya ivyo?
 
Anakufanya uwe na nidhamu ya hali ya juu katika ndoa! Safi kabisa nampongeza,anailinda ndoa yake kwa gharama yo yote.
 

Mke wako anaupiga mwingi[emoji23][emoji23]
 
Anakufanya uwe na nidhamu ya hali ya juu katika ndoa! Safi kabisa nampongeza,anailinda ndoa yake kwa gharama yo yote.

Hiyo sio nidhamu anamjengea uoga tu.

Mwanamke akithubutu kuinua mdomo kunitamkia upuuzi huo ajue ndo tumemalizana

Wanaume wenye maamuzi magumu tupo wachache sana ndio maana huyu jamaa kaja kulialia humu
 
Hiyo sio nidhamu anamjengea uoga tu.

Mwanamke akithubutu kuinua mdomo kunitamkia upuuzi huo ajue ndo tumemalizana

Wanaume wenye maamuzi magumu tupo wachache sana ndio maana huyu jamaa kaja kulialia humu
Hata asipokutamkia hayo akiamua akue anaweza! Kumbuka chakula anachokupikia ni siri yake,anaweza kuweka sumu ukila akafa bila kujua.Tuwaheshimu wake zetu kwa kuwa Mungu ameweka hofu ya Mungu ndani yao,lakini wakisema watumalize wanaweza.
 
baada ya kuona niko na hofu alinambia ananitania hawezi fanya hivyo. hofu yangu ni kua dada ake ananambia aliwahi kumwagia ndugu yake chai ya moto alipokua na hasira. sasa niki reflect hayo matukio nahisi kama anamaanisha vile
Ohooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…