Namuogopa X wangu

Leta sikio hilo,au bas we block tu namba yoyote akikutafuta nayo, unaeza jibu ovyo kumbe akili zake ni fyatu akaja kukufanyia kitu mbaya, wanaume hawafanani.
Kumbe huwa mnazingatia tahadhari πŸ˜‚
 
Huyo Ex wako ni Kama wangu tofauti ni kuwa mimi simuogopi hata theluthii na kila akinitafuta lazima nimtukane

Yaani ni msumbufu Kama wako ila hatuwezi kuongea kawaida bila kuishia kugombana… yaani kuna siku tukatukanana na demu wake nikamwambia mwambie mwanaume wako akome kunitafuta simtaki et alikuwa anasikia maana aliweka round speaker na akasikia nikisema anikome

Katulia wiki mbili tena kanitafuta kasema yeye hawezi kuacha kunitafuta hata Kama simjibu yeye atanitafuta

NB
Sio kwamba simpendi nampenda sana ila siwezi kurudiana nae kaenda kuzaa na mwanamke mwinginee siwezi kuwa na mwanaume mwenye mtoto halafu ni under30 angekuwa above 30 ningemfikiria
 
😁😁😁 daaahhh 47 .. Sawa mzee usisahau kubeba kitambaa cheupe
Bila shaka Mkuu

Bahati nzuri vyuo vingi vya town vimefunguliwa, kwahiyo hatuwezi kukosa Wajukuu wa kutusaidia kuvuka barabara Siku hiyo πŸ€—
 
Uuuwweeeh kuna vichaa aseee utashangaa njemba usiku linavunja mlango πŸ˜‚
Sio wanaume tu ndio maana kuna haja ya kupima hali ya afya ya akili kabla ya kuwa pamoja. Kuna watu ni hatari sana hasa wakishaamua mambo yao.
 
Sio wanaume tu ndio maana kuna haja ya kupima hali ya afya ya akili kabla ya kuwa pamoja. Kuna watu ni hatari sana hasa wakishaamua mambo yao.
yani weeee hadi utatamani siku zirudi nyuma usiwahi mfahamu tena,,ila nyie kuna watu wanateseka kwenye haya mahusiano na hawana la kufanya,mtu anakwambia kabisa,bora tukose wote kwaio nakuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…