- Thread starter
- #241
Mmmh.Nakupenda dear
Nashukuru sana rafiki yangu🙏🏼
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh.Nakupenda dear
Sawa mkuuKwa utaalamu nilionao wewe unaumwa ugonjwa unaoitwa Maji mara moja
MkuuRudisha kwanza vile vyote alivyokupa ndiyo uyapata ujasiri huo unaoutaka.Huwezi kumfokea kwa kutumia simu aliyokununulia yeye mwenyewe.Mungu akusaidie kukutia ujasiri wa kumwambia ukweli.
Sawa mkuuWote wa napenda, yeye apige block akitafuta namba nyingine ni block tu
Wewe ni jasiri.
Mimi Sijui ni zoba sijui ndo wale mapooza,sijui hata kwanini namuogopa.
Mimi pia nampenda lkn ni furushi la stress.
Onhoo kumbe wampenda bwan 😂 mbon kule juu umekataa
YametimiaOnhoo kumbe wampenda bwan 😂 mbon kule juu umekataa
Wish ingekua hivyo unavyodhani but it is not.Sasa akujibu nini hapo, jibu halipo na hawezi kukuahidi kuacha kitu ambacho hawezi kuacha ni vile unamfosi aache. Nyie mnapendana
You are hiredNikodishe kama mpenzi wako wa maigizo,, nakuhakikishia kabisa, hatoendelea Kukusumbua na atakubali kumove on kiroho safi bibie 😑😑
Kula chuma hicho, usifiche iliyo kweli maana ukikataa hadharani moyoni ukweli unaujua ni upi.Wewe ni jasiri.
Mimi Sijui ni zoba sijui ndo wale mapooza,sijui hata kwanini namuogopa.
Mimi pia nampenda lkn ni furushi la stress.
Labda ipo hivyo ila ni ngumu sana kujua moyo wa mtu, ni rahisi sana wewe kujua unampenda nani lakini ni ngumu sana kumjua anaekupenda.Wish ingekua hivyo unavyodhani but it is not.
Siwezi tu kuelezea sana hapa ila kwa ground sio kama wengi wenu mlivyotafsiri hapa.We jua tu huyo mtu hana mapenzi na mimi
Nitumie kabisa mawasiliano yako pm ili nianze kazi mapema bibiye 😑You are hired
umepita mule mule mkuu wangu, hao watu wa hivyo ni hatari mno kwake mashambuliz ni mpaka kwa ndugu, omba yasikukute.ila kuna watu vichaa nyie,hajali lolote haogopi chochote, unaeza sema uhame mji anahamia na varangati kwa ndugu zako
Lengo la kuongea naye ni kumchimba mkwara asilete mazoea na demu wangu, sasa Kuna shida gani kufanya kazi rahisi namna hiyoEmbu vaa viatu wewe ndiyo mwanaume afu manzi ako akamwambie uongee na x wake utakubali?
Kakiri mwenyeweYametimia
Yes hanipendi.Kwahyo ni kwamba hakupend?
Upo na mahusiano mapya ambayo unahofia mkiendeleza mawasiliano atayahatarisha?
We endelea kunikataa. Hivi unajua nechukua Fomu. Pesa z serkl tutakul sanAs Salaam Alaikum dear all.
Wakuu,kuna X wangu ambae niliona ili niwe na amani ya moyo na kujilinda na stress ni kukata mawasiliano nae.Yaani simpigii, simtext wala sipokei wala kujibu text zake.
Sasa huyu bwana nilishamwambia mara kibao kuwa sitaki anipigie wala anitext ila siku akijisikia anapiga sipokei. Atakaa tena siku anatext sijibu.
Siku tena akijisikia atapiga au atatext sijibu ila nakua nakasirika kwanini aheshimu ombi langu kuwa sitaki mawasiliano nae!Na simblock sbb nilishawahi kumblock akanitafuta kwa namba nyingine.
Sasa sbb yakuandika huu uzi ni kwamba kuna kitu sijielewi kuhusu huyu mtu na sijui nifanyaje iwe tofauti.
Ni hivi,wakati tuko pamoja nilikua namuheshimu sana na kumuogopa huyu mwanaume ila tatizo ni kwamba pamoja na kuwa tumeachana bado namuogopa flani hivi 🤣 na nahisi kagundua hicho kitu na ndo sababu anapuuzia katazo langu kwa sababu sina ujasiri wa kuongea nae kwa ukali kwa mdomo kwa kumaanisha kuwa sitaki anitafute.
Nina ujasiri tu wa kumwambia kwa text. Tatizo text zangu zenyewe anazidharau tu hata hazijibugi na akijisia anapiga tu saa yeyote au anatext bila kujali kuwa inaweza kuleta shida.
Sasa recently, nimefanya kitu nikajidharau sana. Huyu X alipiga simu usiku mwingi, kuamka naona namba yake. Nikakasirika sana, nikasema huyu leo atanijua mimi nani. Nikaapa kuwa leo namtukana, nampa mineno ya hovyo hadi akome but poor stupid me,😭nilivyopokea tu na nikasikia sauti yake ujasiri wote wa kumtukana ukaisha.
Sikuweza tena kumpa mineno ya hovyo niliyopanga kumpa instead nikawa naongea nae kwa heshima na unyenyekevu ☹️ kama zamani😭.
Alivyokata simu tu ndo nikamuandikia sasa sms kuwa sitaki mawasiliano nae.
Wakuu,sitaki kuendelea kumuogopa huyu mtu.Nifanyaje niweze kumwambia kwa mdomo wangu.
Naamini siku nikiweza kumpandishia sauti huyu ataheshimu ombi langu
upendo haujifichagi, kuna viashiria vyote vya kumpenda. Kitendo cha kusema anashindwa mblock ni wazi kuwa anampenda na anapenda kuona anavyotafutwa. Ila kuna siku mambo yatabadilika kama ataendelea kumzuia ilihali bado anampenda, atoona tena akitafutwa na kusumbuliwa na hapo ndio ataanza kuiona thamani ya mwamba.Kakiri mwenyewe
Vp haombi mzigoKama ni hivyo anavyopiga ndo unadhani ananipenda you are wrong mkuu.Huyo anapigaga kunizingua tu
Simchukii,na zamani kweli nilimpenda ila sasa hivi sihitaji stress na mtuOnhoo kumbe wampenda bwan 😂 mbon kule juu umekataa
Kuna uwezekano mkubwa anakupenda ila ni vile mazingira ya ugumu unaouweka yanamnyima uhuru wa kukuonesha uhalisia wa upendo wake. Uwezi kuelewa hili kama utaendelea kumuignore na kumpuuzia.Yes hanipendi.
Ananitafutaga kunichokoza tu au sijui kunipima hata sielewi