Namuogopa X wangu

Wewe ni jasiri.
Mimi Sijui ni zoba sijui ndo wale mapooza,sijui hata kwanini namuogopa.
Mimi pia nampenda lkn ni furushi la stress.

Asa unamuogopea nini aisee mimi huyu kivuruge wangu anakula matusi sana na nahisi kazoea mshenzii huyu yaani anamiss ma ugomvi ndio maana hakomi

Kama unamuogopa usiwe unapokea simu yake wala kujibu sms
 
Sasa akujibu nini hapo, jibu halipo na hawezi kukuahidi kuacha kitu ambacho hawezi kuacha ni vile unamfosi aache. Nyie mnapendana
Wish ingekua hivyo unavyodhani but it is not.
Siwezi tu kuelezea sana hapa ila kwa ground sio kama wengi wenu mlivyotafsiri hapa.We jua tu huyo mtu hana mapenzi na mimi
 
Wewe ni jasiri.
Mimi Sijui ni zoba sijui ndo wale mapooza,sijui hata kwanini namuogopa.
Mimi pia nampenda lkn ni furushi la stress.
Kula chuma hicho, usifiche iliyo kweli maana ukikataa hadharani moyoni ukweli unaujua ni upi.
 
Wish ingekua hivyo unavyodhani but it is not.
Siwezi tu kuelezea sana hapa ila kwa ground sio kama wengi wenu mlivyotafsiri hapa.We jua tu huyo mtu hana mapenzi na mimi
Labda ipo hivyo ila ni ngumu sana kujua moyo wa mtu, ni rahisi sana wewe kujua unampenda nani lakini ni ngumu sana kumjua anaekupenda.
 
ila kuna watu vichaa nyie,hajali lolote haogopi chochote, unaeza sema uhame mji anahamia na varangati kwa ndugu zako
umepita mule mule mkuu wangu, hao watu wa hivyo ni hatari mno kwake mashambuliz ni mpaka kwa ndugu, omba yasikukute.
 
We endelea kunikataa. Hivi unajua nechukua Fomu. Pesa z serkl tutakul san
 
Kakiri mwenyewe
upendo haujifichagi, kuna viashiria vyote vya kumpenda. Kitendo cha kusema anashindwa mblock ni wazi kuwa anampenda na anapenda kuona anavyotafutwa. Ila kuna siku mambo yatabadilika kama ataendelea kumzuia ilihali bado anampenda, atoona tena akitafutwa na kusumbuliwa na hapo ndio ataanza kuiona thamani ya mwamba.
 
Yes hanipendi.
Ananitafutaga kunichokoza tu au sijui kunipima hata sielewi
Kuna uwezekano mkubwa anakupenda ila ni vile mazingira ya ugumu unaouweka yanamnyima uhuru wa kukuonesha uhalisia wa upendo wake. Uwezi kuelewa hili kama utaendelea kumuignore na kumpuuzia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…