Namuogopa X wangu

Narudia tena,,jifunze kumpuuza text zake ona kama za wale matapeli wa tuma kwenye namba hii,,na cm zake ona kama zile zinazoanza na 09........
Kama bado anampenda na hajamove on yote hayo ni bure
 
Siku hiyo ndio utadhihirisha yakuwa bado unampenda si unajua pombe huwa haiongopi, nyie mtajarudiana wewe bado una hasira za aliyokutenda ila ipo siku utasahau na utapoa.
Wazungu wanasema never say never ila kadri siku zinavyoenda namchukulia tu kama watu wengine tu.
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
Hayo matusi unamlambisha mkiwa pamoja au kwa simu au kwa sms?
Eti kiviruge[emoji3][emoji3]

Kuonana ni ngumu tupo mikoa tofauti ila kaja mkoa niliopo anataka tuonane nimemuwashia moto kazi yake ni kunipostia vijembe status et Mungu hakupi unachokipenda anakupa unachostshili tulizike na wanaotupenda[emoji23][emoji23]


Matusi hayo nampa kwa kuongea simu ama sms hiyo live sina huo uwezo wa kuongea ndio maana simpi nafasi ya kuonana nae… yaani ni msumbufu sanaaa sanaa
 
Onhoo we kama mm tu,m kwenye cm ntaporomoka ka mashine,,ila live hapanaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…