Namuogopa X wangu

Namuogopa X wangu

Mwanaume hatakama mgumu vip kuinua mkono wake juu ya mwanamke,,kuna maneno yatamfanya afanye ivo ila nikiwa mbali najua usalama upo.
Kutana na mimi sasa ambae tukiwa hatupo sawa sisomi sms nazifuta bila kuzisoma, kwenye simu kuongea ukishaanza kuchange nakata au naweka pembeni uongee mpaka na inzi πŸ˜‚πŸ˜…
Sitak stress zinazoepukika.
 
Onhoo hii mbona mbaya zaid,,hii tabia nilkua nayo zamani aseee
 
Kuna uwezekano mkubwa anakupenda ila ni vile mazingira ya ugumu unaouweka yanamnyima uhuru wa kukuonesha uhalisia wa upendo wake. Uwezi kuelewa hili kama utaendelea kumuignore na kumpuuzia.
Mkuu asante kwa ushauri ila yeye ndio tatizo na hilo penzi nimefight sana kuliokoa ,nimevumilia vitu vingi vya kuumiza yaani kwanza mpaka nafikia stage sitaki mawasiliano nae huwezi elewa tu.Hata sielewagi huwa ananitafutiaga nini kama sio uchokozi tu
 
upendo haujifichagi, kuna viashiria vyote vya kumpenda. Kitendo cha kusema anashindwa mblock ni wazi kuwa anampenda na anapenda kuona anavyotafutwa. Ila kuna siku mambo yatabadilika kama ataendelea kumzuia ilihali bado anampenda, atoona tena akitafutwa na kusumbuliwa na hapo ndio ataanza kuiona thamani ya mwamba.
Ndo vizuri aniache kila mtu amsahau mwenzake maisha yasonge
 
Mkuu asante kwa ushauri ila yeye ndio tatizo na hilo penzi nimefight sana kuliokoa ,nimevumilia vitu vingi vya kuumiza yaani kwanza mpaka nafikia stage sitaki mawasiliano nae huwezi elewa tu.Hata sielewagi huwa ananitafutiaga nini kama sio uchokozi tu
Akikutafuta muulize ni nini lengo lake haswa, kwakuwa umeshajua kipi unapaswa kufanya sidhani kama itakuwa ngumu kwako kuepuka usiyoyataka yatokee.

Ningekuwa najua kwa uchache kuhusu aliyoyafanya ningeshauri zaidi ila sijui ngoja niishie hapa japo napenda sana mzidi kuwa pamoja. Au mwamba hana maisha unayoyataka wewe?
 
Pasipo kusahau kubugia dawa za pressure na sukari 😁
Hahaha................Kwa Usalama wa afya zetu, ni muhimu sana kubugia dawa za pressure na Sukari hasa kama tuna appointment na hawa watoto wa elfu 2

Nimewahi kusikia sifa zao kupitia Mzee mwenzangu ERoni kwamba they are so energetic on bed, na kama hautakuwa jirani na dawa zako za pressure na Sukari unaweza kuamkia Kwa Janabi Muhimbili πŸ˜œπŸ™Œ
 
Back
Top Bottom