Namuogopa X wangu

Namuogopa X wangu

Kakiri mwenyewe
Unani missunderstand kwa kila ninacho comment.
Mara uhisi niko hapa kutafuta bwana.
Anyway.ukweli ni kuwa nimejaribu kupata solution ya vipi naacha ujinga wa kumuogopa mtu kiasi nashindwa kumtamkia vitu ninavyotamani kumtamkia kwa sauti ya kumaanisha.Hivyo tu
 
mpuuze tu bwan, ugomvi sio lazima,kuna sehem umeitwa kule hebu twende
 
Nasema tu kuchangamsha genge hata ningevuta bangi nikimsikia nakua mpole😭😭
Narudia tena,,jifunze kumpuuza text zake ona kama za wale matapeli wa tuma kwenye namba hii,,na cm zake ona kama zile zinazoanza na 09........
 
Back
Top Bottom