Namuogopa X wangu

Nikieleza sana anaweza pita hapa akaelewa bure ila nishawahi kumuuliza anadai ananipenda ila sasa maneno na vitendo tofauti.

Kuhusu maisha yake anaonekana ni mlalahoi tu ila nilimpenda hivyo hivyo sbb ndani yake kuna vitu vingi vilinivutia japo yeye anajitutumua nimuone tajiri kitu ambacho kilikua kinanikwaza sbb nilihisi anadhani mim ni malayah wakudanganywa kwa mali wakati nilitamani aniheshimu kama mwanamke ninayempenda yeye kama yeye na ninayehangaika kutafuta riziki yangu kwa njia za halali.
 
Mkuu,
Tusisahau dawa za pressure na sukari. Mambo ya kukutwa lodge umenyooka ni aibu sana. Japo mimi na afmbili ni maji na mafuta🀣
 
Hutaki kuongea nae, mbona rahisi sana...block and ignore! Ikitokea akatuma text kwa namba mpya just ignore, kumpotezea mtu ni rahisi sana, unless na wewe unafurahia kusoma texts zake, I know the feeling!!
 
Siungesema tu kwamba bado unampenda kuliko unavyo jitetea
 
Mkuu,
Tusisahau dawa za pressure na sukari. Mambo ya kukutwa lodge umenyooka ni aibu sana. Japo mimi na afmbili ni maji na mafuta🀣
Kwa kweli, ni aibu kama ulivyosema

Hongera kuruka viunzi vya watoto wa elfu 2

Mimi pia nitajaribu, weekend hii nitapita barabara ya survey bila kusimamisha gari na kuwasalimia pale Utawala wala geti dogo 😜
 
Umepata penz jipya ndiomaan unamdharau, penz jipya linakuaga tam san had unahis huyo x wako alikua hajui mapenz, ila penz jipya utam wake unaisha baada ya miez 3 hkn rang utaacha kuona
 
Kumbe na humu jf yumo?

Sio kwamba anafanya hivyo ili umuone tajiri, huyo anafanya kwa ajili yako ni vile tu uwezo hana nawewe uwezi kumvumilia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…