Namuogopa X wangu

Lengo la kuongea naye ni kumchimba mkwara asilete mazoea na demu wangu, sasa Kuna shida gani kufanya kazi rahisi namna hiyo

Mkuu, wanasema ukicheka na nyani utavuna mabuwa
Mkuu usije ukajaribu kuingia kwenye huo mtego ACHA KABISA.
 
Dahhh πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Mzee usifikirie energy za bed tu kuna kiharusi pia 😁😁 Ila usisahau kuongea vizuri na ERoni .. Inawezekana ana siri ya mafanikio babu, nguvu kidogo, akili nyingi
 
Hahahaha.............πŸ˜…πŸ˜…

Bora tumezeeka sasa πŸ˜œπŸ™Œ
 
Hutaki kuongea nae, mbona rahisi sana...block and ignore! Ikitokea akatuma text kwa namba mpya just ignore, kumpotezea mtu ni rahisi sana, unless na wewe unafurahia kusoma texts zake, I know the feeling!!
Kabisa
 
Umepata penz jipya ndiomaan unamdharau, penz jipya linakuaga tam san had unahis huyo x wako alikua hajui mapenz, ila penz jipya utam wake unaisha baada ya miez 3 hkn rang utaacha kuona
 
Kumbe na humu jf yumo?

Sio kwamba anafanya hivyo ili umuone tajiri, huyo anafanya kwa ajili yako ni vile tu uwezo hana nawewe uwezi kumvumilia.
Sijui kama yumo humu ila tahadhari muhimu

Alijua sana naweza kumvumilia kwa hali yoyote sema tu hakuthamini.Na pia Kuna faida gani kudanganya kwenye mapenzi kama ana nia nzuri?Kama mtu kazi yake kuzibua vyoo si anasema tu then aone kama ataachwa kisa kazi ambayo ni ya halali!!
 
Kumbe mtihani mkubwa ni uongo, sio mkweli. Pole yake sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…