Bongo senior
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 757
- 1,526
Mkuu usije ukajaribu kuingia kwenye huo mtego ACHA KABISA.Lengo la kuongea naye ni kumchimba mkwara asilete mazoea na demu wangu, sasa Kuna shida gani kufanya kazi rahisi namna hiyo
Mkuu, wanasema ukicheka na nyani utavuna mabuwa