antimatter
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 47,274
- 126,778
Dah,No. Zangu hazipaswi kupotea hewani hata kwa siku moja mkuu.
Basi nikodi mimi.
Nitampiga biti atakoma moja kwa moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah,No. Zangu hazipaswi kupotea hewani hata kwa siku moja mkuu.
Njoo pm nikuliwaze katika hiki kipindi kigumuAs Salaam Alaikum dear all.
Wakuu,kuna X wangu ambae niliona ili niwe na amani ya moyo na kujilinda na stress ni kukata mawasiliano nae.Yaani simpigii, simtext wala sipokei wala kujibu text zake.
Sasa huyu bwana nilishamwambia mara kibao kuwa sitaki anipigie wala anitext ila siku akijisikia anapiga sipokei. Atakaa tena siku anatext sijibu.
Siku tena akijisikia atapiga au atatext sijibu ila nakua nakasirika kwanini aheshimu ombi langu kuwa sitaki mawasiliano nae!Na simblock sbb nilishawahi kumblock akanitafuta kwa namba nyingine.
Sasa sbb yakuandika huu uzi ni kwamba kuna kitu sijielewi kuhusu huyu mtu na sijui nifanyaje iwe tofauti.
Ni hivi,wakati tuko pamoja nilikua namuheshimu sana na kumuogopa huyu mwanaume ila tatizo ni kwamba pamoja na kuwa tumeachana bado namuogopa flani hivi 🤣 na nahisi kagundua hicho kitu na ndo sababu anapuuzia katazo langu kwa sababu sina ujasiri wa kuongea nae kwa ukali kwa mdomo kwa kumaanisha kuwa sitaki anitafute.
Nina ujasiri tu wa kumwambia kwa text. Tatizo text zangu zenyewe anazidharau tu hata hazijibugi na akijisia anapiga tu saa yeyote au anatext bila kujali kuwa inaweza kuleta shida.
Sasa recently, nimefanya kitu nikajidharau sana. Huyu X alipiga simu usiku mwingi, kuamka naona namba yake. Nikakasirika sana, nikasema huyu leo atanijua mimi nani. Nikaapa kuwa leo namtukana, nampa mineno ya hovyo hadi akome but poor stupid me,😭nilivyopokea tu na nikasikia sauti yake ujasiri wote wa kumtukana ukaisha.
Sikuweza tena kumpa mineno ya hovyo niliyopanga kumpa instead nikawa naongea nae kwa heshima na unyenyekevu ☹️ kama zamani😭.
Alivyokata simu tu ndo nikamuandikia sasa sms kuwa sitaki mawasiliano nae.
Wakuu,sitaki kuendelea kumuogopa huyu mtu.Nifanyaje niweze kumwambia kwa mdomo wangu.
Naamini siku nikiweza kumpandishia sauti huyu ataheshimu ombi langu
Moyo wangu ushateseka vya kutosha acha niupumzishe kidogo aiseeHuyu cha kumshauri ni warudiane tu asiutese moyo
We mshamba kweli man 😂Ms R huyu jamaa ana mke tayari.
Sasa upumzishe kwa ku relax bwan,, mbona ivo hauta pumzka kabsaMoyo wangu ushateseka vya kutosha acha niupumzishe kidogo aisee
imeisha io 😂We mshamba kweli man 😂
Wapi nimesema nampenda na wewe mkuu?Kweli wewe bado unampenda huyo Jamaa.
Wewe unajuaje yakuwa hakupendi?Mimi simjali kwa chochote mkuu ila yeye ndo akiona nimetulia na maisha yangu anaanza kunichokoza na text au au simu.
Mwanzoni alikua akipiga au kitext nilikua natafsiri kuwa kanimiss bado ananipenda.na kwa vile na mimi nilimpenda nikawa nampa ushirikiano baada ya muda unagundua hajarudi kwa upendo wala hayuko serious ni uchokozi tu anafurahia kuona ukiwa emotionally disturbed
Imeishia wapi?imeisha io 😂
Wewe unaimbisha imbisha tu hujui kuna wakubwa wananyatiaWe mshamba kweli man 😂
Utaki? nikujibu inavyotakiwa?Hahahaha 😂😂😂 kwendaaaaaaa
Kama ni hivyo anavyopiga ndo unadhani ananipenda you are wrong mkuu.Huyo anapigaga kunizingua tuMaelezo yako yanaonesha bado mnapendana, malizen tofaut muendelee mlipoishia.
Hahahaha 😂😂🙌🏾Wewe unaimbisha imbisha tu hujui kuna wakubwa wananyatia
Mabantu-sina shida nae 😂Wewe unaimbisha imbisha tu hujui kuna wakubwa wananyatia
Ongea mkuuAisee!
Umeoaaaa tokaaaaImeishia wapi?
SawaAkipiga mpe simu mwanaume yeyote, ajifanye ni mchumba wako. Amkoromee. Ataacha
Ahahahah
We jibu bwan mbona unajiogopa ivooUtaki? nikujibu inavyotakiwa?