Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Sema nini, we mwanangu sana, kinyaaaaama yani kama kumkubali mtu ni kosa naomba kwako nifungwe jela maisha au nihukumiwe kifo au vyote kwa pamoja. ✊✌Umeoaaaa tokaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema nini, we mwanangu sana, kinyaaaaama yani kama kumkubali mtu ni kosa naomba kwako nifungwe jela maisha au nihukumiwe kifo au vyote kwa pamoja. ✊✌Umeoaaaa tokaaaa
Subiri utekwe utaelewaMabantu-sina shida nae 😂
Hivi humu kumbe watu huwa wapo siriazi kufukuzia Fake ID?
Nakuhurumia ila hujihurumiiWe jibu bwan mbona unajiogopa ivoo
Hakuna wakuniteka humu, sipo walipo.Subiri utekwe utaelewa
Hiyo no 2 ndo siwezi kukubishia ,kaniambia hana mke ila wanaume mnajijua mlivyo waongo ila nyingine zote you are wrongNgoja nitafsiri ulio yaandika kwa nilivyo ona between the lines.
1- X wako ni mtu mzima na amekuzidi umri sana.
2- X wako ni mume wa mtu na anafamilia yake.
3- X wako bado unampenda.
4- X ulimuacha kwasababu hauoni future.
5- X unaona bado kama kwasasa anakupotezea muda.
Babu inaonekana mwaka 47 ulikuwa vizuri sana kwenye tasnia hiyo, sio kwa hizo nondo unazotoa tatzo hawasikilizi wazee.Ukiona mnachokozana kama hivyo, seems wote bado mnapendana
Na utashukuru sanaAsante sana kwa taarifa mkuu
Nikisoma majibu yako naona hujamove on ndio maana bado unapoa ukiiskia sauti yake. Bado kuna upendo juu yakeKwa kweli sitaki kumpenda mana nitakufa na stress tu.Upendo nilompa unatosha na bahati nzuri au mbaya hata hakuuthamini.
Viashiria vibaya vipo na ndo mana sitaki mawasiliano nae nisijelia kilio huko mbele.
Kwa sasa my goal ni kuishi maisha yangu yaliyobaki Stressfree
Hajibu text za nikimwambia sitaki aniandikie tena ila yeye mwenyewe siku akijisikia kunizingua ananiandikiaBado anampenda ndio maana mara aseme hamjibu lakini bado huwa anamjibu na kutegemea majibu, rejea aliposema tatizo lake text zake anazidharau hamjibu.
Mkuu Kiranga mimi sina feeling yeyote na huyo mtu.Niamini hivyoMtu anajimbonjisha kwa sitaki nataka tu.
Kama ex anakusumbua m block.
Kama hujamblock una ka feeling naye bado hakusumbui.
It's really simple like that.
Anakuwaje X wako, kwani mliowana?As Salaam Alaikum dear all.
Wakuu,kuna X wangu ambae niliona ili niwe na amani ya moyo na kujilinda na stress ni kukata mawasiliano nae.Yaani simpigii, simtext wala sipokei wala kujibu text zake.
Sasa huyu bwana nilishamwambia mara kibao kuwa sitaki anipigie wala anitext ila siku akijisikia anapiga sipokei. Atakaa tena siku anatext sijibu.
Siku tena akijisikia atapiga au atatext sijibu ila nakua nakasirika kwanini aheshimu ombi langu kuwa sitaki mawasiliano nae!Na simblock sbb nilishawahi kumblock akanitafuta kwa namba nyingine.
Sasa sbb yakuandika huu uzi ni kwamba kuna kitu sijielewi kuhusu huyu mtu na sijui nifanyaje iwe tofauti.
Ni hivi,wakati tuko pamoja nilikua namuheshimu sana na kumuogopa huyu mwanaume ila tatizo ni kwamba pamoja na kuwa tumeachana bado namuogopa flani hivi 🤣 na nahisi kagundua hicho kitu na ndo sababu anapuuzia katazo langu kwa sababu sina ujasiri wa kuongea nae kwa ukali kwa mdomo kwa kumaanisha kuwa sitaki anitafute.
Nina ujasiri tu wa kumwambia kwa text. Tatizo text zangu zenyewe anazidharau tu hata hazijibugi na akijisia anapiga tu saa yeyote au anatext bila kujali kuwa inaweza kuleta shida.
Sasa recently, nimefanya kitu nikajidharau sana. Huyu X alipiga simu usiku mwingi, kuamka naona namba yake. Nikakasirika sana, nikasema huyu leo atanijua mimi nani. Nikaapa kuwa leo namtukana, nampa mineno ya hovyo hadi akome but poor stupid me,😭nilivyopokea tu na nikasikia sauti yake ujasiri wote wa kumtukana ukaisha.
Sikuweza tena kumpa mineno ya hovyo niliyopanga kumpa instead nikawa naongea nae kwa heshima na unyenyekevu ☹️ kama zamani😭.
Alivyokata simu tu ndo nikamuandikia sasa sms kuwa sitaki mawasiliano nae.
Wakuu,sitaki kuendelea kumuogopa huyu mtu.Nifanyaje niweze kumwambia kwa mdomo wangu.
Naamini siku nikiweza kumpandishia sauti huyu ataheshimu ombi langu
Hii ndio funga kazi.
Marahaba Mkuu...Babu inaonekana mwaka 47 ulikuwa vizuri sana kwenye tasnia hiyo, sio kwa hizo nondo unazotoa tatzo hawasikilizi wazee.
Kwanza shikamoo..
Mimi ni mshenga.Hahahaha 😂😂🙌🏾
Mmh ni hivyo tu mtu huwezi kusema kila kitu hapa rafiki.Sasa upumzishe kwa ku relax bwan,, mbona ivo hauta pumzka kabsa
Kila nikisoma comments zako unanikumbusha jamaa yangu flani nilijuana nae Jf Ila alikuwa akiishi nje..Marahaba Mkuu...
Wazee ni kama vitabu, tuna azina ya matukio mengi Kichwani.
Hili tukio la mtoa mada, linataka kufanana na tukio ambalo liliwahi kutokea Mwaka 47, japo miaka hiyo hakukuwa na simu za kusema unaweza kum-block mtu
Paragraph ya kwanza umeandika kitaalamu sana mkuuWanaokushauri wanapoteza muda. Bado unampenda na huo ukali na kero kero ndio masculine energy inayokufanya uwe addicted nae zaidi kwa sababu anakufanya uwe submissive lakini anakufanya ujihisi safe
Hiyo chuki ndio upendo wenyewe na kama kwenye simu huwezi kujizuia. Akifika mbele yako kashamaliza mchezo. Lakini usisahau kuwa makini maana kama kuna viashiria vibaya unaviona na kuvipuuza, ipo siku utavilipia. All the best