Namuogopa X wangu

Hiyo no 2 ndo siwezi kukubishia ,kaniambia hana mke ila wanaume mnajijua mlivyo waongo ila nyingine zote you are wrong
 
Nikisoma majibu yako naona hujamove on ndio maana bado unapoa ukiiskia sauti yake. Bado kuna upendo juu yake

Ila kuna mawili hapo

Aidha unapendwa lakini jamaa hajui jinsi ya kukupenda kwa sababu hataki commitment kutokana na umri wake. Hivyo anataka ubaki kwa sababu anajua unampenda lakini kuacha ujana wake hawezi pia. Kwa hiyo nae yupo confused japo katika hili yawezekana pia upendo wake kwako haupo deep kiasi cha kumbadilisha Ila anapenda jinsi unavyompenda kwa sababu kwingine anapata sex Ila wewe unampa more. Sijui umenielewa 😁😁

Kingine yawezekana wewe hakupendi ila ndio mnyonge wake maana kila binadamu ana huyo mtu. Yawezekana hampendi lakini ndo mtu rahisi kumpata pale atapomuhitaji iwe kwa faraja au sex ila mambo yake yakikaa fresh. Anakaa kimya ila yakivurugika anatafuta mnyonge wake wa kumtuliza.

Yote kwa yote nyinyi ndo mnajuana na hii ni side moja ya story. Huwezi jua na yeye ana yapi ya kukuongelea maana umejiweka kama perfect girl kitu ambacho ni nadra
 
Mtu anajimbonjisha kwa sitaki nataka tu.

Kama ex anakusumbua m block.

Kama hujamblock una ka feeling naye bado hakusumbui.

It's really simple like that.
Mkuu Kiranga mimi sina feeling yeyote na huyo mtu.Niamini hivyo
 
Anakuwaje X wako, kwani mliowana?
 
Babu inaonekana mwaka 47 ulikuwa vizuri sana kwenye tasnia hiyo, sio kwa hizo nondo unazotoa tatzo hawasikilizi wazee.
Kwanza shikamoo..
Marahaba Mkuu...

Wazee ni kama vitabu, tuna azina ya matukio mengi Kichwani.

Hili tukio la mtoa mada, linataka kufanana na tukio ambalo liliwahi kutokea Mwaka 47, japo miaka hiyo hakukuwa na simu za kusema unaweza kum-block mtu
 
Sasa upumzishe kwa ku relax bwan,, mbona ivo hauta pumzka kabsa
Mmh ni hivyo tu mtu huwezi kusema kila kitu hapa rafiki.
Inshort sasa hivi hata nikipaka ka lipstick kanaonekana.
Usiombee stress za kupenda pasipoeleweka kipenzi
 
Marahaba Mkuu...

Wazee ni kama vitabu, tuna azina ya matukio mengi Kichwani.

Hili tukio la mtoa mada, linataka kufanana na tukio ambalo liliwahi kutokea Mwaka 47, japo miaka hiyo hakukuwa na simu za kusema unaweza kum-block mtu
Kila nikisoma comments zako unanikumbusha jamaa yangu flani nilijuana nae Jf Ila alikuwa akiishi nje..

Alikuwa anapenda nimuite babu japo umri wake hata father wangu kamzidi Ila naona alikuwa anapenda sana kujikuza 😁😁

Mnafanana personality hadi muandiko. Jamaa sijaongea nae kama miaka miwili hivi Ila namkubali sana. Jamaa flani roho nyeupe sana
 
Paragraph ya kwanza umeandika kitaalamu sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…