Extroverted Introvert
JF-Expert Member
- Aug 18, 2022
- 599
- 1,565
akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingime block, akitumia namba nyimgime block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block. Yani wewe zipige block tu na hiyo ndiyo njia sahihi kama kweli humtaki. Sababu kublock namba ni sekunde 1 tu yani sekunde moja.Hachoki sbb kwake its funny (nahisi) kunizingua.
Kumpotezea naweza.
Sitaki kumblock sbb nikifanya hivyo no yake itakua saved somewhere in my device na sitaki
Nimekupata vizuri mkuu.Nikisoma majibu yako naona hujamove on ndio maana bado unapoa ukiiskia sauti yake. Bado kuna upendo juu yake
Ila kuna mawili hapo
Aidha unapendwa lakini jamaa hajui jinsi ya kukupenda kwa sababu hataki commitment kutokana na umri wake. Hivyo anataka ubaki kwa sababu anajua unampenda lakini kuacha ujana wake hawezi pia. Kwa hiyo nae yupo confused japo katika hili yawezekana pia upendo wake kwako haupo deep kiasi cha kumbadilisha Ila anapenda jinsi unavyompenda kwa sababu kwingine anapata sex Ila wewe unampa more. Sijui umenielewa 😁😁
Kingine yawezekana wewe hakupendi ila ndio mnyonge wake maana kila binadamu ana huyo mtu. Yawezekana hampendi lakini ndo mtu rahisi kumpata pale atapomuhitaji iwe kwa faraja au sex ila mambo yake yakikaa fresh. Anakaa kimya ila yakivurugika anatafuta mnyonge wake wa kumtuliza.
Yote kwa yote nyinyi ndo mnajuana na hii ni side moja ya story. Huwezi jua na yeye ana yapi ya kukuongelea maana umejiweka kama perfect girl kitu ambacho ni nadra
Hahaha............shukrani sana Mkuu 🙏🙏Kila nikisoma comments zako unanikumbusha jamaa yangu flani nilijuana nae Jf Ila alikuwa akiishi nje..
Alikuwa anapenda nimuite babu japo umri wake hata father wangu kamzidi Ila naona alikuwa anapenda sana kujikuza 😁😁
Mnafanana personality hadi muandiko. Jamaa sijaongea nae kama miaka miwili hivi Ila namkubali sana. Jamaa flani roho nyeupe sana
Sawa mkuu.akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingime block, akitumia namba nyimgime block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block, akitumia namba nyingine block. Yani wewe zipige block tu na hiyo ndiyo njia sahihi kama kweli humtaki. Sababu kublock namba ni sekunde 1 tu yani sekunde moja.
Ishara zote zinaonyesha bado unampenda sana tu Sema sijui niseme una utotoAs Salaam Alaikum dear all.
Wakuu,kuna X wangu ambae niliona ili niwe na amani ya moyo na kujilinda na stress ni kukata mawasiliano nae.Yaani simpigii, simtext wala sipokei wala kujibu text zake.
Sasa huyu bwana nilishamwambia mara kibao kuwa sitaki anipigie wala anitext ila siku akijisikia anapiga sipokei. Atakaa tena siku anatext sijibu.
Siku tena akijisikia atapiga au atatext sijibu ila nakua nakasirika kwanini aheshimu ombi langu kuwa sitaki mawasiliano nae!Na simblock sbb nilishawahi kumblock akanitafuta kwa namba nyingine.
Sasa sbb yakuandika huu uzi ni kwamba kuna kitu sijielewi kuhusu huyu mtu na sijui nifanyaje iwe tofauti.
Ni hivi,wakati tuko pamoja nilikua namuheshimu sana na kumuogopa huyu mwanaume ila tatizo ni kwamba pamoja na kuwa tumeachana bado namuogopa flani hivi 🤣 na nahisi kagundua hicho kitu na ndo sababu anapuuzia katazo langu kwa sababu sina ujasiri wa kuongea nae kwa ukali kwa mdomo kwa kumaanisha kuwa sitaki anitafute.
Nina ujasiri tu wa kumwambia kwa text. Tatizo text zangu zenyewe anazidharau tu hata hazijibugi na akijisia anapiga tu saa yeyote au anatext bila kujali kuwa inaweza kuleta shida.
Sasa recently, nimefanya kitu nikajidharau sana. Huyu X alipiga simu usiku mwingi, kuamka naona namba yake. Nikakasirika sana, nikasema huyu leo atanijua mimi nani. Nikaapa kuwa leo namtukana, nampa mineno ya hovyo hadi akome but poor stupid me,😭nilivyopokea tu na nikasikia sauti yake ujasiri wote wa kumtukana ukaisha.
Sikuweza tena kumpa mineno ya hovyo niliyopanga kumpa instead nikawa naongea nae kwa heshima na unyenyekevu ☹️ kama zamani😭.
Alivyokata simu tu ndo nikamuandikia sasa sms kuwa sitaki mawasiliano nae.
Wakuu,sitaki kuendelea kumuogopa huyu mtu.Nifanyaje niweze kumwambia kwa mdomo wangu.
Naamini siku nikiweza kumpandishia sauti huyu ataheshimu ombi langu
Nishaweza dear.Jitahid uweze sasa
ukishindwa njoo nkufundisheNishaweza dear.
Siku nikiweza na kumfokea ndo ataelewa somo
Nitafanya hivyoSasa kwa nini unashindwa kum block?
Yeah. Mtu msumbufu dawa yake mblock tu.Nitafanya hivyo
Jamani mimi simpendi mtu.Ishara zote zinaonyesha bado unampenda sana tu Sema sijui niseme una utoto
Ndo unifundishe hapa leo shostoto.ukishindwa njoo nkufundishe
Not anymore wewe toa tu ushauri mkuu
HakikaYeah. Mtu msumbufu dawa yake mblock tu.
Mimi nilikua na demu alikua yupo hivyo ananinunia tukakaa kama wiki siku tunaonana alibaki ananililia huku tumekumbatianaJamani mimi simpendi mtu.
Mbona mnang’ang’ania kuwa nampenda?
Mimi nimesema namuogopa na haimaanishi nampenda
Sawa mkuu.Mimi nilikua na demu alikua yupo hivyo ananinunia tukakaa kama wiki siku tunaonana alibaki ananililia huku tumekumbatiana
Basi block tu au usipokee simu lazima atakuja kuacha tu njia nyingine mpe mwanaume aongee nae kwa kumuonya
Yeah ukiangalia kwa undani utajijua wewe una position gani kwake. Na chochote akili yako itaona usiibishie kwa kuendekeza hisia. Hiyo itakusaidia ku move on kuliko kukaaa katika hiyo situation yakoNimekupata vizuri mkuu.
Naona mie ndo nilikua huyo mnyonge wake.Na maisha ya kuwa huyo mnyonge(last option) (nyasi siku simba kakosa nyama) ni ya stress za kuua.
Uzi haujaomba kumfokea kwaio ukifka hio stage niite😆Ndo unifundishe hapa leo shostoto.
Si ndio ndio nimeomba kwenye uzi dear?
Kwa hiyo waliokukula wewe tigo sasa wanakudharau?Kama alikula tigo yako hawezi kukuheshimu hata siku 1
ANakupigia simu kwa sababuAs Salaam Alaikum dear all.