Namuogopa X wangu

Hahaha............shukrani sana Mkuu 🙏🙏

Sisi ndiyo wale Wazee ambao tumeogopa kuandika vitabu Kwa kuogopa kuwahi kutangulia kama Wazee wenzetu akina Ben na Mengi 🤗
Sawa mzee kuna show zenu za maquis na Nguza Viking zinapigiwa promo na clouds na zingine za msondo TCC.. Nenda ukakumbushie zama zako za solo 😁😁
 
Yeah ukiangalia kwa undani utajijua wewe una position gani kwake. Na chochote akili yako itaona usiibishie kwa kuendekeza hisia. Hiyo itakusaidia ku move on kuliko kukaaa katika hiyo situation yako
Mimi nilishqsonga mbele mkuu yeye ndo sielewi kwanini hatulii na hao first class wake.
 
Shida Nini hasa, mbona kama vile hamjaachana!
 
Endelea kumueshimu tu mapenzi yanaumiza sana asije akaenda kununua maji ya betri bure ukajikuta unalia kila siku ya maisha yako.
 
Huo ndio ukweRi
 
Sawa mzee kuna show zenu za maquis na Nguza Viking zinapigiwa promo na clouds na zingine za msondo TCC.. Nenda ukakumbushie zama zako za solo 😁😁
Hahaha............wamefanya vizuri kutukumbuka Wazee kwenye upande wa burudani.

Nimeshawapigia simu marafiki zangu wa mwaka 47, tumekubaliana kwenda kuburudishwa na Mzee King Kiki Jumamosi hii 🤗
 
Tushafikia bwaga basi hizo pwenti😀
Leta sikio hilo,au bas we block tu namba yoyote akikutafuta nayo, unaeza jibu ovyo kumbe akili zake ni fyatu akaja kukufanyia kitu mbaya, wanaume hawafanani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…