sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Maombi kwa kumaanisha ndio nn mkuu..Je amejaribu kusali kwa kumaanisha? tatizo sio kubwa sana mbele ya Mungu endapo akilipeleka mbele za Mungu kwa maombi.....
Waitishe mkutano wa wazazi wote na viongozi wa maeneo hayo wawaeleze hayo matatizo, la sivyo waache kazi.Rafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X.
Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero....
Amwage chumvi ya mabonge na ndimu kuzunguka nyumba yake ndani na nje na kwenye kila kona aweke kipande cha ndimu kilichochomwa tooth pick ..hii ni pamoja na juu ya mlangoRafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X.
Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero.
Rafiki yangu pamoja na walimu wenzake baadhi hupatwa ma vituko usiku kitu ambacho huleta msongo wa mawazo.
Vibweka hivi ni kama....
Asome Ayaatul Kursiyy akiingia ndani, akifunika vyombo, akilala na akiwasikia wanatembea juu ya dari au bati asome huku amekielekeza kilode chake cha shahada huko anakosikia watu wakitembea.Rafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X.
Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero....
Amwage chumvi ya mabonge na ndimu kuzunguka nyumba yake ndani na nje na kwenye kila kona aweke kipande cha ndimu kilichochomwa tooth pick ..hii ni pamoja na juu ya mlango
Juu darini kwenye ceiling board kwa ndani atupie mifupa ya mkuu wa meza na akilala ageuze nguo nje ndani au nyuma mbele
[/QUOT
Hii n chiboko
Au aweke sumu ya panya katika huo ubwabwa🤣🤣🤣🤣🤣hio number moja awaulize wenzake vizuri,kuna mtu anaamka usiku na kupitia ubwabwa..ndio huyo huyo wanamsikia akitembea ndani ya nyumba...waweke mtego watamkamata tuu...🤣🤣