Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Kuna andiko linasema "yeye huwaangazia jua lake wema na waovu" hivyo anayonafasi ensapo akimaanisha kweli (kumaanisha kwa kuwa tayari kuachana na mienendo yake pia)Maombi kwa kumaanisha ndio nn mkuu..
Maombi ya mwnye dhambi ni kelele mbele za Mungu.