Namuokoaje rafiki yangu ambaye ni Mwalimu Kijijini, michezo ya wabaya usiku inamnyima raha

Hayo ni mambo madogo mnoo hata kwa mtu mwenye imani yake ya kawaida kabisaaa ku deal.
Kuna mambo mazito bwana hayo sio mbona.Hayo hata mjini tu wengine tumekutana nayo.
Kuna wale wa visiwan huk mwanza walishawah kuripotiwa wanaingiliwa kimwil kabisa na wachawi wakati wa usiku.
Au sometimes wanakuta vinyesi kitandani..umelala na underwear unaamka mtupu!!acha kabisaaa ...nikahis yatakua matukio kama haya.

Ushauri.
Fanya mpango wahame.Honga ikibidi kwa wadau wa halmashauri hapo wawape ruhusa.
 
Amwage chumvi ya mabonge na ndimu kuzunguka nyumba yake ndani na nje na kwenye kila kona aweke kipande cha ndimu kilichochomwa tooth pick ..hii ni pamoja na juu ya mlango
Juu darini kwenye ceiling board kwa ndani atupie mifupa ya mkuu wa meza na akilala ageuze nguo nje ndani au nyuma mbele

[emoji28][emoji28][emoji28]mwenyekiti umefika.
 
Kuna fundi mmoja hatari yuko tabora kama itakupendeza nitakuunganisha awasaidie hao walimu, na hata wenye matatizo makazini, mapenzi, biashara na magonjwa huyo mwamba ni moto wa lipread mbali, anafanya mambo leo kesho unaona matokeo,pia hana blah blah wa kuchangachanga chale which is old school.wengi wamesaidiwa humu ila wanapiga kimya hawasemi ili na wengine wapate msaada.
Mkuu the weekend cheki pm yako tafadhali
 
Kuna fundi mmoja hatari yuko tabora kama itakupendeza nitakuunganisha awasaidie hao walimu, na hata wenye matatizo makazini, mapenzi, biashara na magonjwa huyo mwamba ni moto wa lipread mbali, anafanya mambo leo kesho unaona matokeo,pia hana blah blah wa kuchangachanga chale which is old school.wengi wamesaidiwa humu ila wanapiga kimya hawasemi ili na wengine wapate msaada.
Pale karibu na Kazima Sec au
 
Rafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X.

Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero.

Rafiki yangu pamoja na walimu wenzake baadhi hupatwa ma vituko usiku kitu ambacho huleta msongo wa mawazo.

Vibweka hivi ni kama.

1. Sufuria zenye vyakula kukutwa tupu asubuhi ilhali jana zilikuwa na chakula.

2. Kuhisi mtu ama watu kutembea ndani ya nyumba

3. Vishindo mithiri ya watu kukimbizana kwenye dari

4. Mchanga kumwaga kwenye bati

5. Mawe kurushwa kwenye bati.

6.Baadhi ya walimu kuamka miguu ikiwa na vumbi

na kadhalika

Sasa anaomba ushauri anawezaje kupata uhamisho
Mkoa X na kijiji fulani ndio wapi?
 
Amwage chumvi ya mabonge na ndimu kuzunguka nyumba yake ndani na nje na kwenye kila kona aweke kipande cha ndimu kilichochomwa tooth pick ..hii ni pamoja na juu ya mlango
Juu darini kwenye ceiling board kwa ndani atupie mifupa ya mkuu wa meza na akilala ageuze nguo nje ndani au nyuma mbele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mtaalamu
 
Rafiki yangu ni mwalimu katika kijiji fulani huko ndani ndani sana mkoa X.

Sasa hicho kijiji kumekuwa na uchawi sana mpaka kero.

Rafiki yangu pamoja na walimu wenzake baadhi hupatwa ma vituko usiku kitu ambacho huleta msongo wa mawazo.

Vibweka hivi ni kama.

1. Sufuria zenye vyakula kukutwa tupu asubuhi ilhali jana zilikuwa na chakula.

2. Kuhisi mtu ama watu kutembea ndani ya nyumba

3. Vishindo mithiri ya watu kukimbizana kwenye dari

4. Mchanga kumwaga kwenye bati

5. Mawe kurushwa kwenye bati.

6.Baadhi ya walimu kuamka miguu ikiwa na vumbi

na kadhalika

Sasa anaomba ushauri anawezaje kupata uhamisho
Kwani Kitoabu anasemaje kwenye hii issue?
 
Kuna fundi mmoja hatari yuko tabora kama itakupendeza nitakuunganisha awasaidie hao walimu, na hata wenye matatizo makazini, mapenzi, biashara na magonjwa huyo mwamba ni moto wa lipread mbali, anafanya mambo leo kesho unaona matokeo,pia hana blah blah wa kuchangachanga chale which is old school.wengi wamesaidiwa humu ila wanapiga kimya hawasemi ili na wengine wapate msaada.
Mkuu the weekend.... Japo apunguze codes za mkoa husika apate msaada.
 
Kuna uzi humu jamaa anaeleza kinga ya uchawi nazani inaitwa LUPATU inapatikana hapo Mozambique mkoa wa cap delagoa kwa maelezo ya yule mwamba hao watapukutika wote na hali itakua shwari
 
Back
Top Bottom