Namuokoaje rafiki yangu ambaye ni Mwalimu Kijijini, michezo ya wabaya usiku inamnyima raha

Maombi kwa kumaanisha ndio nn mkuu..

Maombi ya mwnye dhambi ni kelele mbele za Mungu.
Kuna andiko linasema "yeye huwaangazia jua lake wema na waovu" hivyo anayonafasi ensapo akimaanisha kweli (kumaanisha kwa kuwa tayari kuachana na mienendo yake pia)
 
Hii ni kweli? Eti wakatoliki ndo dhehebu linaloongoza kwa kutopata matatizo ya ulozi sijui mapepo majini n.k kwa sababu ya ulaji wa Kitimotroo??😁
 
Nitumie no zake mkuu nipo unyamwezini huku
 
Simshauri kuhonga, juzi kuna ticha katiwa ndani Tabora alimhonga 90000 katibu tawala ili ahamie Tabora mjini kutoka kijijini
 
Simshauri kuhonga, juzi kuna ticha katiwa ndani Tabora alimhonga 90000 katibu tawala ili ahamie Tabora mjini kutoka kijijini
Ofcz kuhonga ni kitu normal sema unaweza kosea kwa kutoangalia nani unamuhonga na una muhonga how!!
 
Mwambie aweke sumu ya panya kwenye chakula
 
Lupatu kinga dhidi ya wachawi hii itakufaa ngoja tumuite Master akupe mwongozo cc. Kitoabu
 
Sasa kazi ya ualimu ndio iniweke kwenye mazingira ya kisenge kiasi hicho wakati bodaboda wanawafunika kwa kipato Mara 3 mpaka 5

Hayo mauzauza ni trela tu kule majita kuna mwalimu ME aliamka akakuta shahawa za kutosha matakoni
 
Awekee chakulaa sumu kimya kimyaa....Tena sumu ilee Kali kweli kwelii,afu utatuletea majibu
 
Mwambie jioni apike msosi mtamu sana,afu atie Bromadiolone sumu isiyo na harufu,kesho awahi dispensary kuwajua wabaya wake!
Asije usiku akalishwa...maana wachawi wanaweza mlisha akiwa usingizini😀 ikaleta balaa jingine tena
 
Mkuu kwani ungetaja tu kua ni Njombe wilata ya wanging'ombe shida ingekua wapi?
 
🤣🤣🤣🤣🤣hio number moja awaulize wenzake vizuri,kuna mtu anaamka usiku na kupitia ubwabwa..ndio huyo huyo wanamsikia akitembea ndani ya nyumba...waweke mtego watamkamata tuu...🤣🤣
Hiyo michezo ipo mama yetu aliwahi kutuambia miaka ya 80s wakiwa bagamoyo walikuwa wakila wali usiku na ukabaki kidogo wa chai asubuhi... wakiamka asubuhi sufuria ni kama halikupakuliwa usiku mpaka ukoko uko juu.. mambo ya bagamoyo ... miaka hiyo.
 
Tatizo mambo ya kutegemea binadamu tabu... ukianza kuwategemea hao hata ukikohoa utataka kuwafuata.. Mungu tu ndio mwanzo na mwisho.
 
Waache unoko mashuleni
 
Mzee huyo fundi inaelekea master
[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…