The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Nimemsikililiza waziri Bashungwa alipokuwa anatoa maelekezo kuhusu vitambulisho vya NIDA.
Kwa bahati mbaya hawa mawaziri wetu hawajishughulishi sana kutafuta majibu ya kero halisi za wananchi wa kawaida kabisa.
Kuna changamoto nyingi sana kwenye michakato ya vitambulisho vya NIDA
1. Ni foleni ndefu sana isiyo na tija wala sababu yoyote.
Mfano. Hakuna siku utapita kwenye ofisi za NIDA usikute msululu wa watu kwenye jua kali.
Katika Ulimwengu ulioendelea kwa technology tuliyofikia hatuhitaji huu usumbufu.
2. Kuna wakati hawa maofisa wa NIDA hukosea kujaza taarifa yaani unakuta kitambulisho chako kimejazwa tofauti na majina yako halisi.
Kuna usumbufu mkubwa sana ili ufanye hayo marekebisho.
Kuna wakati ukiwa mkoa wanakwambia uende hadi makao makuu ila ukifika huko unakutana na blabla tu.
3. Kusajili watu wapya ni kwa nini NIDA wasiapdate tu taarifa ya birth certificate ya mtu aliyefikisha miaka 18.?
Naomba waziri atafute kero toka kwa wananchi. Sio tu kutafuta kuuza sura kwenye tv.