Namuomba msamaha Haji Manara kwa kumpinga aliposema waandishi wengi wa Tanzania ni "takataka" leo EFM radio wamethibitisha

Namuomba msamaha Haji Manara kwa kumpinga aliposema waandishi wengi wa Tanzania ni "takataka" leo EFM radio wamethibitisha

Lolimodo wa haji alikuwa Mwendazake
 
Kivyovyote vile Haji anatakiwa aombe radhi alichofanya sio sahihi kabisa.
Hivi Simba hakuna mtu mwingine anayefaa kuwa msemaji wa Klabu zaidi ya huyo Mropokaji? Mbona Yanga walimpiga chini Lopolopo Jerry Muro?
 
Hakuna anayewatukana waandishi wa habari bali waandishi wanajitukana wenyewe.Linapotokea jambo lolote kuhusu Simba na Yanga badala ya wao kulijadili kitaalamu wao wanalijadili kinafiki. Hivi utaniaminishaje kitenge sio tqakataka kwa jinsi anavyochagua kuripoti habarri mbaya za simba wakati zikitokea habari mbaya upande wa pili likitokea jambo baya anaacha kabisa kujadili.
 
Back
Top Bottom