Hakuna anayewatukana waandishi wa habari bali waandishi wanajitukana wenyewe.Linapotokea jambo lolote kuhusu Simba na Yanga badala ya wao kulijadili kitaalamu wao wanalijadili kinafiki. Hivi utaniaminishaje kitenge sio tqakataka kwa jinsi anavyochagua kuripoti habarri mbaya za simba wakati zikitokea habari mbaya upande wa pili likitokea jambo baya anaacha kabisa kujadili.