Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Wanaringia sana raia hata kusalimia wanaona kinyaa ila wakiumwa wanakuja kutembeza bakuli.Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini kwenye video
Halaumiwi mtu jwa kuumwa, wacha roho ya kichawi.Wanaringia sana raia hata kusalimia wanaona kinyaa ila wakiumwa wanakuja kutembeza bakuli.
Iwe fundisho kwa wote.Halaumiwi mtu jwa kuumwa, wacha roho ya kichawi.
"Iwe fundisho kwa wote.
Hawabadiriki hao wakishapona.
Angalia mfano Wastara
" Hawabadiriki" ndiyo nini?
Ifike pahala uache ujinga."
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Pole sana ila what is behind all this hivi kweli Mungu huyu Nina mjua anaweza achia jambo hili baya bila mtu mwenyewe kuwa nyuma ya Yale yanampata? Embu tuseme ukweli kuwaponya na wengineKuna hii ni ya miezo 10 iliyopita, acha hiyo ya leo, ni kadhia ya muda mtefu sana it seems
Yote hayo tuyaache, we changia tu, huyu ni binadamu mwenzetu, anateseka sanaPole sana ila what is behind all this hivi kweli Mungu huyu Nina mjua anaweza achia jambo hili baya bila mtu mwenyewe kuwa nyuma ya Yale yanampata? Embu tuseme ukweli kuwaponya na wengine
Twendelee kumsaidia mtanzania mwenzetuSawa, na mimi natuma nitaweka muamala hapa
Pole zake na Mungu tunaomba umponye. Ila haya mambo inatakiwa tuyaangalie kwa upana wake. Kwa nini unaona huyu msanii ndiye mwenye haki ya kusaidiwa wakati kuna watanzania wengi wenye matatizo kama haya? Ni kigezo gani umetumia? Kwa vile alikuwa msanii? Mbaya zaidi hawa wasanii ndiyo wanatumika kuwasaliti wananchi kwa kujigeuza machawa wa watawala? Jamani haya mambo ya kupinga utawala mbovu bila kushirikiana wote ni suala la muda tu, kila mtu litamfika kwa wakati wake. Watawala wetu wangekuwa ni watu wa kujali wagonjwa kama hawa kungekuwa na utaratibu wa kuwashughulikia bila kuomba msaada. Hebu tuungane kudai uwajibika ili kuepuka mambo kama haya. Inasikitisha sana kuona dada mwenye umri mdogo kama huyu anateseka wakati kuna fedha zinachezewa kwa kununua magari ya kifahari na kulipa wabunge wa mchongo wasiona faida yoyote kabisa. Hivi fedha zote zilizotumika kulipa hao covi-19 si zingeweza kutumika kusaidia wagonjwa kama hawa?Sina hakika kama imeshaletwa huku au laa, ila mimi ndio nimeiona leo. Nikaona niilete hapa ili mwenye kuweza kusaidia matubabu ya mwigizaji Carina asaidie. Pengine hata tukimega pesa kidogo toka kwenye yale magoli ya Mama si mbaya sana, asaidiwe apelekwe hata India tu. Maelezo kamili yapo chini kwenye video
Achana nao hao watoto, tuma chochote kwa mgonjwa"
Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Acha maneno dogo.Wanaringia sana raia hata kusalimia wanaona kinyaa ila wakiumwa wanakuja kutembeza bakuli.
Shida Nini?Hujafa hujaumbika jamani Wanasema ashapelekwa hadi nje kweli wameshindwa kumponesha madaktari
Tunamuombe apone haraka
Huwezi amini kwenye Thread ya jamaa hapo juu naona maelezo tu hadi sasa.Loftins! Unataka kuona video ya mwenzio akiteseka ndio utume mchango wa matibabu!