Namuomba ''rubii'' abadilishe avater yake kwasababu zifuatazo

Viavatar vyenyewe very small lkn kumbe kuna watu wanavifuatilia na kuvizoom
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124][/QUOT
Bitoz mbona kama una mtetea
 
Viavatar vyenyewe very small lkn kumbe kuna watu wanavifuatilia na kuvizoom
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
hahaaaaa, acha tu bruhh
 
Habari zenu member woote wa JF,

Kuna member mmoja hivi humu ndani anaitwa rubii mdada huyu avater yake haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii.Sasa kiustarabu namuomba abadilishe.

Mawazo yangu.

= avatar
 
Kweli tunatofautiana...mimi nilikuwa nataka nimuombe ai-zoom!!
 
Mrs..... hebu nipe link kwanza. Maana hata sijui nini kinaongelewa hapa
Eti kuna mdada Avatar yake matata (haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii). Sasa mie ndio nilikuwa nakuuliza kama wewe umeshaiona?
 
Back
Top Bottom