Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Sijawahi kuiona. Mi huwa nakuona wewe tu.Eti kuna mdada Avatar yake matata (haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii). Sasa mie ndio nilikuwa nakuuliza kama wewe umeshaiona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijawahi kuiona. Mi huwa nakuona wewe tu.Eti kuna mdada Avatar yake matata (haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii). Sasa mie ndio nilikuwa nakuuliza kama wewe umeshaiona?
Mmmmh ngoja nipite tuNi kweli, avatar yenyewe ni hii:View attachment 327935 View attachment 327935
Waaache weeee! Mahaba Nigalagaze. 😀Sijawahi kuiona. Mi huwa nakuona wewe tu.
Rubii usitoe mwaya mbona poa tu. Kwani tatizo nini hapa, acheni hizo bana...Ni kweli, avatar yenyewe ni hii:View attachment 327935 View attachment 327935
Mawazo yako ni mazuri lakini kama yanataka kuingilia Uhuru na interest za watu... Acha bhana hizo, sie twapenda hiyo avater.Habari zenu member woote wa JF,
Kuna member mmoja hivi humu ndani anaitwa rubii mdada huyu avater yake haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii.Sasa kiustarabu namuomba abadilishe.
Mawazo yangu.
umetumia sabuni ?Habari zenu member woote wa JF,
Kuna member mmoja hivi humu ndani anaitwa rubii mdada huyu avater yake haina maadili kavaa chupi tu! Mapaja yote wazii.Sasa kiustarabu namuomba abadilishe.
Mawazo yangu.
Tupia picha mkuu kuweka msisitizo
Si habaNi kweli, avatar yenyewe ni hii:View attachment 327935 View attachment 327935