ndiyo, jamaa ni mzuri sanaDah umeona ehhh? naona kama tumewaibia wale wa swaziland. Ukizingatia jamaa katua bure, halafu Niyonzima ameigharimu MKIA FC zaidi ya Milioni 124 za Kitanzania.
Labda Niyonzima anacheza Golf.Tuzo ya mchezaji bora wa Kigeni naona akiibeba kila msimu.
Matokeo vipi??Hakuna aliyekuwa na chembe ya shaka baada ya kukamilika kwa mtanange wa ngao ya hisani kuhusu Pappy.
Man of the Match Mkongomani Pappy Kabamba Tshishimbi anaonekana kuwa na damu yenye vina saba na mchezaji wa Taifa la Holand Edgar Davis.
Tutegemee tuzo ya mchezaji bora wa kigeni msimu wa 2017/18 kutua mikononi mwa Pappy K. Tshishimbi.
Huyu Jamaa anafanya kazi ambayo ilikuwa ikifanywa na wachezaji wawili wa msimu uliopita yaani (Niyonzima + Zullu).
Nisiongee sana ngoja nitafakari jinsi Dogo Gadiel MICHAEL alivyomuweka mfukoni Emmanuel A. Okwi.
hahahahahahaHuyo mkongo anajua sana! Wala silioni tena pengo la yule mnyarwanda!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni bora umekuwa mkweli mtani jamaa anajua Sana. Hajapoteza hata pasi Moja!!!Matokeo vipi??
Huyu mkongo niwe mkweli yuko vizuri, kiango chake sio cha kuchezea yanga! Yanga watamuharibu!
Jamaa kaziba pengo la Niyonzima halafu kapitiliza. Ni mtamu kuliko muwa wa mtibwa. Hongera kamati ya Usajili ya yanga.Endelea kubisha, Maana ulibisha msimu wa 2016/17 Yanga hawezi kuwa Bingwa. Ukabisha hata kumtambua Bingwa lakini mwisho wa siku ulimtambua kwa lazima.
Usimsahau na Gadiel Michael, naye atakuja kuwa bonge la star.Tshishimbi ni noma sana. Ndiye mchezaji pekee aliyekuwa anatufariji tuliokuwepo uwanjani leo.
Hajamfananisha. Kasema damu ya Kabanga INA vinasaba na damu ya Edgar.Mkubwa jaribu kuwa serious kidogo,acha kumfananisha mwanadamu na msukule,kumfananisha Davis na Shishibaby ni dharau zilizopitiliza matokeo ya kipimo cha mkojo!
bwege Sana wewe
Duh Kumbe hukuangalia mpira!
huyu Jamaa amekizuia kikosi cha bilioni 1.3 kupata goli lolote ndani ya dakika 90 za mchezo.
Kizazi kinachwaza kwakutumia makalioWeka matokeo wewe.Huyo shishi baby mbona possession ni 53%
Habari unayo..Niyonzima kasema kikwazo cha ubingwa ni Yanga..tafuta interview yake...VPL hakuna matuta