Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Simba tumepigwa hapo mchana kweupe.Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.
Mapovu ruksa!!
Mikimbio yake sio mbaya
😂😂😂😂😂😂Yipke Yule Wamatopeni Wamempata Yipke Boss.
Hata kwa Bwalya mlisema hivyo hivyo. Yanga roho mbaya zenu hazitawasaidia mtabaki kuwa walalamishi tu siku zote.Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.
Mapovu ruksa!!