Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

Namuona Lokosa kama pacha wa Yikpe

Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.

Mapovu ruksa!!
Simba tumepigwa hapo mchana kweupe.
 
Sawa hatukatai ila tukumbuke kuwa kocha ameshasema mapema tu jamaa bado hana utimamu....

Hata lwanga mechi ya kwanza watu walisemaaa kadhalika kwa fraga...

Akiwa yikpe ni heri pia maana kwenye suala la usajili huwezi kupatia kila kitu kama ni mfuatiliaji hilo halikushangazi sana n uhalisia mchungu
 
Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.

Mapovu ruksa!!
Hata kwa Bwalya mlisema hivyo hivyo. Yanga roho mbaya zenu hazitawasaidia mtabaki kuwa walalamishi tu siku zote.
 
Back
Top Bottom