fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Hapana,sio sawa,hajapata muda wa kucheza,usimhukumu vibayaNi mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.
Mapovu ruksa!!
hiyo ndio bongo mkuu. Bongo ni kubwa kuliko dunia. kuna uzi humu wa kumkejeli Rally Bwalya mhusika kautekelezaHivi utamjuaje mchezaji kwa dk 20 anyway ngoja tuone
Japo naelekea kukuelewa ila muda aliotumia unanisutaNi mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.
Mapovu ruksa!!
Big no jamaa bonge la striker kwa vigezo vyoteMgalu ndo tulipigwa kabisaaaaaaaa
Haaaaa haaa haaawabongo wanataka striker awe kama Morrison na Miqsonne,sijui atakuwa anakimbia kuelekea wapi
Simba hawajapigwa Kama utopolo walivyopigwa kwa Yikpe ,lokasa alikataa majaribio kama Yikpe Simba akamsajili kwa miezi 6 tena mechi za kimataifa tu ,hiyo miezi 6 ni kumchunguza tu ,angepewa miaka miwili hapo ndo Simba wamepigwaSimba tumepigwa hapo mchana kweupe.
KoteiHivi kuna sttiker wa Afrika Magharibi aliyewahi kutamba kwenye hii ligi yetu?! Huwa naona kama hatuna bahati nao.
Mlipigwa na nani?Mgalu ndo tulipigwa kabisaaaaaaaa
Kotei
Mkuu kupigwa ni kupigwa tu ata kama ni mkataba wa masaa matatu,[emoji28][emoji28][emoji28]Simba hawajapigwa Kama utopolo walivyopigwa kwa Yikpe ,lokasa alikataa majaribio kama Yikpe Simba akamsajili kwa miezi 6 tena mechi za kimataifa tu ,hiyo miezi 6 ni kumchunguza tu ,angepewa miaka miwili hapo ndo Simba wamepigwa
πππ Mtani nimecheka. LolNdo uchawi wenyewe huu.
[emoji23][emoji23][emoji23] Mtani nimecheka. Lol
Mana wenyewe huwa mnapendaga zile kauli sukari.
Hivyo tumpe mechi ngapi?Sasa mtu kacheza mexhi moja KWELI.unamuhukumu vipi
Umesahau sisi tukileta mchezaji hata kabla hajacheza tayari mmeshahukumu kuwa ni garasa Mtani?Sasa mtu kacheza mexhi moja KWELI.unamuhukumu vipi
Unajua yikpe huko alipo ana bao ngapi yeye na molinga na hakuna hata mchezaji mmoja wa yanga aliezifikiaNi mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba wamepigwa mchana kweupe. Ni suala la muda tuu... Lokosa hatoshi Simba ni heri Kagere kuliko huyo Lokosa.
Mapovu ruksa!!
Kipre tchetche aliewahi kuichezea AzamKotei alikuwa mido