Nyarandu hana jipya, twende na makonda tafadhaliKutokana na kauli za nyuma nidhahiri Paul Christian Makonda akiwa Makamo wa Rais wa JMT.
Hii aina ubishi na aina comeback!
Ikishindikana Razaro Nyarandu anaweza akaukwa.
Over.
Nyarandu anafaa kuwa mshauri wa Raisi kwa umri wake anazo busara za kutosha. Makonda anaweza kufanya kazi na boss kwa weredi sanaMshauri wa Rais Siasa yupo katika chungu!