Kwa hiyo ukiwa siyo mwanachama wa chama chochote unapata uhalali kumsemea Samia mgombea wa ccm anashinda bila kujali anavunja sheria za nchi?Nafurahije uovu kabla hujalaumu watu wewe umeshachukua hatua gani za kupigania uovu au unataka watu wengine wakupiganie kwa niaba yako
Mkuu mimi sina cheo chohote serikalini na sio mwanachama wa chochote cha siasa
Kwa katiba hii anashinda vizuri hata usipopenda ndo itakua hivyo ni ukweli tusioupendaKwa hiyo ukiwa siyo mwanachama wa chama chochote unapata uhalali kumsemea Samia mgombea wa ccm anashinda bila kujali anavunja sheria za nchi?
Mimi nisipopinga uovu inakupa wewe uhalali kuutetea uovu?
JF hatufahamiani, unajuaje sipingi uovu kwenye nafasi niliyonayo?
Acha uchawa, kama wewe siyo mwanachama wa chama chochote basi usiongelee siasa usizozifahamu, ni bora kukaa kimya.
Unafanya political analysis halafu unasema wewe sio mwanasiasa.
Katiba imevunjwa ya chama na ya nchi, wewe unasema ni sawa kwasababu imevunjwa mara nyingi.
Hivyo unaogopa gharama za kupinga uovu umeamua kuungana nao?Kwa katiba hii anashinda vizuri hata usipopenda ndo itakua hivyo ni ukweli tusioupenda
Tumia akili na sio hisia unafikiri kulalamika huku mtandaoni ndo itasaidia jibu ni hapana
Katiba Imevunjwa wewe umechangia nini kwenye kuhakikisha katiba haivunjwi tena uko baadaè au unataka watu wakupiganie wewe ukiwa nyuma ya keyboard maisha sio marahisi hivyo
Kila jambo unalotaka linagharama swali wewe uko tayari kuingia hizo gharama za kulipigania au unataka watu wengine wakupiganie
Wapi nimeungana na waovuHivyo unaogopa gharama za kupinga uovu umeamua kuungana nao?
Unadhani siifahamu siasa za Tanzania?
Nchi zote duniani kupiga kura ni hiyari na hata usipopiga kura anashinda Samia, lakini usijiuze akili na utu wako kwasababu unata kuwa chawa kuonekana unamuunga mkono kwa vijisababu mbuzi.
Unatafuta uteuzi ndio maana umekazana sana kutoa audio uonekane?
Basi umeeleweka, endelea kuwa activist usiye na chama.
🤣🤣🤣🤣Ahsante na hongera kwa kushiriki na karibu tena
Tittle, atatawala wapi?HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025
Kwanza acha ni-declare interest mimi siandiki uzi huu kwa sababu ya kusaka cheo au teuzi bali kuna mambo nataka uyaone kwa jicho la utofauti
Misimamo yangu sitakubali nafasi yeyote ile ya kupewa ķutoka serikalini iwe ni
Hata nikipewa nakataa kati ya nafasi mojawapo nakataa sababu ita-comprimise kile nachopigania URAIS WA TANZANIA
- Ubunge wa kuteuliwa
- Ukuu wa mkoa
- Ukuu wa wilaya
- Sehemu yeyote katika bodi ya mashirika ya serikali
MSIMAMO WANGU SITAKUBALI NAFASI YEYETE SERIKALINI EXCEPT NAFASI YA URAIS AMBAYO RECENTLY NIMEANZA HARAKATI ZAKE SIO KWAMBA NINA-CHUKI NA SERIKALI HAPANA NI MIPANGO YANGU NA MAONO NILIYONAYO NA MIIKO NILIYOJIWEKEA
INTRODUCTION
Mimi kabla ya kuanza harakati za urais nimesoma sana historia hata shuleni nilikuwa ninapenda sana historia
Sijasoma historia ili nifaulu mtihani bali kujifunza
Baadhi ya historia nilizo-soma na kuna mambo nimejifunza mengine nimeyapotezea
zifuatazo ni baadhi ya historia ambazo zimenifundisha mambo mengi sana ya uongozi na zinanisaidia sana kujua hata mambo yanayoendelea sahivi
- Maisha ya Musa mpaka anafariki it was legendary kuna mambo mengi sana ya uongozi utajifunza
- Sauli-Daudi mpaka sedekia anayekuja kutamatisha ufalme wa yuda; ukisoma wale wafalme wote jumla wanafika 40 wa Israel na yuda kuna uongozi kuna kitu kikubwa sana kwenye uongozi utajifunza
- Judas Maccabes- haijalishi wewe ni maskini au mtu wa kawaida still unaweza pambana na watu/mtu wenye nguvu anayetaka kutumia nguvu zake kukukandamiza)
- Jesus sio lazima uishi miaka mingi ufanye makubwa
- Mtume Muhammad (mimi sio muislamu ila mambo nimejifunza kutoka kwa mtume-haijalishi we ni mtu wa kawaida still unaweza acha legacy kubwa sana)
- Abu bakr (mrithi wa Muhammad anaelezea dhana nzima ya power is taken and not given)
- Ali anatundisha usiwe mnyonge watu hawana huruma hasa kwenye Jambo la maslai ambalo na wewe unanafasi
- Karl marx- amini unachoamini hata kama watu wote wanakupinga
- Vladimir Lenin- pigania ambitious zako
- Joseph stalin- kupitia Vladimir Lenin kwenye maisha unahitaji rafiki kama stalin
- James pork (rais wa marekani) anatufundisha hakuna linaloshindika)
- Theodore Roosevelt (kama ilivyo kwa James pork anatufundisha hakuna linaloshindikana)
- Al assad (baba yake bashar Al assad rais aliyepinduliwa haijalishi background uliyotokea unaweza shika nafasi kubwa)
- Donald Trump ( trump simpendi kinoma ila anatufundisha sio lazima upitie mitandao ya urais ndo uwe rais wakati wengine wanaanzia juu kwenda chini Trump alianzia chini kwenda juuunaweza na akawa unstoppable)
Mimi ni mkristo na namuamini Mungu
Mungu wa-kristo anasifa zifuatazo
- Mungu ashei utukufu na wanadamu- manabii wengi wamekuwa wakitoa unabii ila hautimii kama walivyoambiwa ukweli ni kwamba Mungu anakuwa ameshajibu ila kwa namna yake kwa sababu hashei utukufu na binadamu
- Mungu ataamua mwenye ni wapi atakukuza huwezi mpangia
- Mungu akiamua kumpa mtu kipawa, utajiri, hekima atampa tu hata kama kila siku anamdhihaki Mungu, kamwe huwezi omba utajiri kama ni hivyo waombaji wote wangekuwa matajiri
- Mungu hajafungwa na sheria za kibinadamu kama kuua, uongo, n.k hizo amefungwa nazo wanadamu na sio Mungu
- Mungu hana tatizo na wanaompinga na kumdhihaki
- Mara nyingi Mungu anamchagua mtu ambaye kwa hekima na macho ya kibanadamu hafai ila ndo yeye kashamchagua iko mifano mingi sana ila kwa uzi usiwe mrefu sana naishia hapa
Katika hii dunia hii statement mbili zikae kwenye akili yako
SIASA ZA TANZANIA
- Mabadiliko yamefungwa kwenye ubaya
- Ubaya umefungwa kwenye uzuri
Changamoto za Tanzania hizi za saivi zipo tokea wakati wa Nyerere mpaka wakati huu wa samia unachoona wakati huu wa samia sio kipya tofauti ni kwamba sahivi kuna social media kubwa sana kwa hiyo taarifa zinasambaa sana na kwa urahisi
mfano wa hizo changamoto zipo tokea kipindi cha Nyerere
- Umaskini usio hisha
- Katiba kutokufuatwa
- Utekaji
- Ufisadi
- Kukua kwa deni la taifa
Ukiangalia hayo mambo niliyoyataja hapo juu utakubaliana na mimi kwamba yanaenda kwenye ubaya kwenye maisha hakuna aliyechagua ubaya au uzuri ni mambo ambayo tunakutana nayo
Jambo la kufahamu wanadamu tunapenda fantasy yani tunasahau hata mabaya ni sehemu ya maisha yetu na kamwe huwezi ishi bila kuwa na uzuri na ubaya kwenye maisha yako ya kila siku najaribu kukufikirisha ufikirie mambo kwa upana
Mda mwingine inabidi utumike ubaya ili litimie Jambo flani mfano
- Mwanamke anatakiwa apate uchungu ili mtoto azaliwe, si kila mtu ataingia kwenye ndoa kwa njia ya amani wengine wataingia kwa lazima na kwa vurugu, sio kila mtu ataoa kwa kupitia kupeleka mahari, sendoff,, na harusi wengine wataangia kwenye ndoa kwa njia vurugu, na wengine sogea tukae hii yote ni katika sehemu ya kutukuza utukufu wa Mungu
- ilibidi Hitler awaue wayahudi million 6 ili nchi ya Israel izaliwe
- ilibidi vita vya kwanza vya dunia vitokee ili Russia izaliwe kama superpower hio ndo historia whether you like or not
Mimi nakawaida moja tukio likitokea mara nyingi sana narudi kwenye historia kwa sababu naamini hakuna jambo linakuja kwa bahati mbaya, mara nyingi huko nyuma kwenye historia kuna tukio kama hilo linaweza lisifanane kwa asilimia mia moja ila kwa asilimia kadhaa yanafanana
NJOO KWA RAIS WETU SAMIA SULUHU
Ukisoma historia ya Samia suluhu Hassan utagundua sio ya kawaida kwa maana sio mtu aliyekuwa ana-stahili kwa macho ya kibinadamu ila ndo hivyo Mungu kampa nafasi ya urais- hakua smart sana ila ndo hivyo ni Rais hayo ndo maisha
Njoo kwenye mchakato wa yeye kupitshwa January 2025 wengi tunalalamika hata mimi nililalamika ila nikasema acha niende kwenye historia ambazo nilishazisoma
Alichofanya samia January kwa mustakabdhi ya historia yuko sahii ni statement ngumu kuielewa ila naishia hapo
Samia suluhu Hassan atatawala awamu ya kuanzia mwaka 2025 mpaka 2030 anaweza shinda kwa njia tusizozipenda bali yeye sio wakwanza kutumia hizo njia wenzake pia waliomtangulia wametumia hizo njia huu ni ukweli ambao wengi hatuupendi bali itakuwa hivyo swali la atamaliza ni topic nyingine
Jakaya kikwete baadhi ya watu wanamlalamikia sana jambo ambalo watu hawafahamu kuhusu kikwete ni kwamba kikwete anajua power is taken and not given
Na imekua ngumu sana kupambana na kikwete kwa sababu ana-character flani hivi ambayo ni charisma ili umwelewe inabidi uwe umesoma sana historia tofauti na hapo utamchukia huitaji kumchukia
MIMI HUTAKAA UNIKUTE NAMTUKANA RAIS SAMIA, MZEE KIKIWETE AU KIONGOZI YEYOTE YULE SIO KWAMBA NAWAOGOPA AU MIMI BAADHI YA MAAMUZI YAO HAYANIUMIZI HAPANA YANANIUMIZA SANA
Kwa elimu kubwa sana ambayo nimeipata kuna mambo yafuatayo acha nishare na wewe
- Mimi najua njia ya kufika madaraka ya urais, kwanini nasema hivyo hakuna mtu ungemuuliza 2015 nchi hii itakuja kutawaliwa na mwanamke akakubali ila imewezekana asikudanganye mtu Mungu anatengeneza njia kwenye mahali ambapo kila mtu anaona hapawezekani
- Mimi siamini kwenye mapinduzi nchi zote zilizopitia mapinduzi ile legacy imewatesa sana fahamu kwenye historia hakuna jambo linafanyika kwa bahati mbaya almost kila jambo ni mbegu inapandwa na kuna miaka itazaa
- Kupitia historia nimejifunza ukiwa mtu wa kutumia sana hisia ataumia sana siasa haihitaji hisia itakuumiza sana kuna mambo mengi yanafanyika ya hovyo usiyaweke moyoni. Bila kujua majira n
KUONDOKA CCM MADARAKANI
- Mabadiliko wanayopigania chadema hayawezi fanikiwa kwa njia ya maandamano
- Ccm haiwezi ondoka madarakani kwa njia ya box la kura kwa mazingira ya sasa unless utokee some sort of miracle
- Ccm hawawezi ondoka madarakani kwa njia ya mapinduzi, kumbuka utawala wa Nyerere yalinyafika mapinduzi mengi maarufu ni yakina hans pope na yalifeli- ondoa hili wazo labda ccm itaondoka kwa njia ya mapinduzi liondoe kabisa
- Jambo la kufahamu kama Nyerere alivyoondoka madarakani na kungatuka mwaka 1984 ndo ccm itaondoka madarakani kwa njia hiyo hiyo kwanini nasema hivyo historia inajirudia sio lazima iwe kwa asilimia mia moja
- Na kama magufuli alivyofariki na kukawa na peacefully transition basi miaka ijayo kuna watu watakabidhi madaraka kwa njia ya amani- na kama ulikuwa hujui tukio la kukabidhi madaraka kwa amani mwaka 2021 halina tofauti sana na la mwaka 1984
Jambo ambalo silipendi ni watu wanakuza mambo sana ni kweli nchi ya Tanzania wananchi hawana hali nzuri sana za kimasha ila hali sio mbaya kihivyo
kuna nchi zinaongozwa kindava mfano hapo Congo, Somalia, Syria, Iraq, Mexico hizi nchi ndani ya nchi kuna vikundi vinatawala baashi ya eneo la nchi kupitia law of jungle
Watu mnahaki ya kulalamika ila tuweke akiba ya maneno
- Kuna mchangiaji mmoja wa kipima choto miaka ya nyuma alikuwa anaitwa Renatus mkinga sahivi ni marehemu ilikuwa ukimsikiliza utajua kabisa nchi iko vitani lakin ilikuwa ni mihemko
- Kuna-mchangiaji mmoja wa jamiiforums anaitwa britannica ukisoma nyuzi zake unaweza dhani mda wowote kuanzia sasa mapinduzi yanafanyika anakuza mambo sana ili-hali nyinine ni changamoto za kawaida ambazo lazima ziwepo kwenye jumuiya yeyote ile
AMBAO TUNALENGO LA KUWA VIONGOZI HAPO BAADAE TUJIKITE KWENYE ISSUE ZINAZOHUSU WANANCHI NA SULUHISHO LAKE TUACHANE NA SIASA ZA MWENDOKASI NA SIASA ZA MATUKIO HAZIMSAIDII MWANANCHI WA KAWAIDA
TanzaniaTittle, atatawala wapi?
Nimekaa paleTanzania
Nachokushauri usiamini sana miujizaNimekaa pale
Sina mwanasheria aisee ila muda utaongea
Chama chake kimeshampitishaHATOGOMBEA
Nitarudi kukukumbusha.Chama chake kimeshampitisha
Mungu ashei utukufu na wanadamu wengi wamemtabiria samia mabaya ila watakua supprise sana
SawaNitarudi kukukumbusha.
Dini ya kitapeliHUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025

Ahsante kwa kushiriki na karibu tenaDini ya kitapeli
Kioindi Cha 2025-2030, sio historia ni kioindi ambacho kinakuja, Ni muhula ambao hatujui nani atakuwa Raisi, unajicontradict sana..hii story njoo nayo mwaka 2030, kama ukifika.Samia suluhu Hassan atatawala awamu ya kuanzia mwaka 2025 mpaka 2030
Kipindi cha 2025 hadi 2030 si historia, bali ni wakati ujao. Ni muhula ambao hatujui nani atakuwa Rais, hivyo unajichanganya sana katika hoja zako. Hii simulizi uje nayo mwaka 2030, kama utafanikiwa kufika.HUU NDO MSIMAMO WANGU WA UCHAGUZI WA 2025

Wewe unatumia hisia na fantasy huwezi nielewaWee jamaa bwana, umeandika article ndefu sana lakini mwisho wa siku kumbe unampigia zumari Bi Samia Suluhu Hassan "mitano tano". Sikiliza bwana, haipo hivyo na haitakuwa hivyo...!!
Kama ni historia, basi kwa hiki ulichoandika, nikiri wazi wazi kuwa hujaisoma vyema na kuielewa kwa kuitazama na kuichambua historia ya matukio ya kihistoria kwa kuangalia pande zote ya kukujenga na kukubomoa...
Umetolea mfano Nabii Musa (Moses).
Japo umemtaja tu, hujadadavua kwa undani, hujamwelezea kwa undani alikuwa nani, alitoka wapi, mission yake ilikuwa nini, akafanyeje na mwisho wake ukawaje kabla ya kufa kwake na alikufaje...
Lililo bayana ktk historia ya nabii Musa ni hili, kwamba, alifanya serikali yote ya kiovu ya mfalme Farao wa Misri ya kale na mifumo yake yote kufa na kuzikwa na kupotea hadi leo na kuzaliwa Misri mpya kabisa unayoiona leo....
Hiyo☝🏻ndiyo ilikuwa mission ya Nabii Musa aliyotumwa kuifanya nchini Misri
Vivyo kwa Yesu Kristo. Yeye mission yake ilikuwa ni kubadilisha mindset za watu na mifumo ya tawala za serikali za kidunia. Ndiyo maana alionekana ni adui mkubwa wa watawala hao na alinusurika ktk majaribio mengi ya kuuwawa moja kwa moja...
Iliposhindikana kumuua kwa njia ya kawaida kama vile ajali za kutengeneza, kutumia sumu, kutumia silaha kama bunduki/risasi au kumpiga mawe hadi afe nk walikuja na plan ya kumfungulia mmashitaka ya uongo wakiwatumia hongo/rushwa na mashahidi wa uongo ili wahalilishe kifo chake kwa kutumia sheria za hovyo na kandamizi ambazo YESU KRISTO alikuwa akizipinga. Ikawa hivyo, wakafanikiwa kwa muda...
Bahati mbaya kwao ni kuwa, hawakujua kuwa kuwa hiyo ndiyo ulikuwa mpango kamili wa Mungu Jehovah wa kuwafanya kujimaliza na kuvunja vunja mifumo ya tawala zao ovu na isiyotenda HAKI kwa mikono yao wenyewe. Walidhani wameua, Lakini hawakuwa wameua chochote bali walikamilisha plan ya Mungu kuleta uhai na ukombozi ulimwenguni...!!
Mbinu hii ndiyo inatumiwa na serikali na utawala wa Samia Suluhu Hassan sasa dhidi ya mtu wa haki, Tundu Lissu. Hii ni ili hiki unachokipigia debe hapa, lengo la Samia kuwa Rais tena wa Tanganyika kwa "mitano tena" kama unavyodai ktk article yako litimie. Narudia tena kukuambia HAIWEZI KUWA, na HAITAKUWA HIVYO...!!
Hiki nilichokuambia hapa kinakupa ujumbe huu👇🏻👇🏻👇🏻
1. Si mara zote historia inaweza kujirudia ktk uelekeo hasi (negative) au chanya (positive). Wakati mwingine, historia inaweza kurudiwa ktk namna ya kuua cha zamani na kuleta kitu kipya kabisa; mfano Misri ya Farao vs Nabii Musa au Yesu Kristo vs Ulimwengu wote..
2. Bi Samia Suluhu Hassan hawezi kuwa Rais tena 2025 - 2030 iwe mvua au jua. Dalili na ishara zote ziko wazi. Na majira na nyakati haziko upande wake. Akijaribu kulazimisha, atakuwa anaita na kuikimbilia mauti yake kwa hiari yake mwenyewe!
Mwambieni kuwa HEKIMA pekee iliyo mbele yake ni kuachana na mpango wake ili ajiokoe yeye na nafsi yake. MSIJE KUSEMA HUKO MBELENI, HATUKUJUA...!
SijajichanganyaKioindi Cha 2025-2030, sio historia ni kioindi ambacho kinakuja, Ni muhula ambao hatujui nani atakuwa Raisi, unajicontradict sana..hii story njoo nayo mwaka 2030, kama ukifika.
Kipindi cha 2025 hadi 2030 si historia, bali ni wakati ujao. Ni muhula ambao hatujui nani atakuwa Rais, hivyo unajichanganya sana katika hoja zako. Hii simulizi uje nayo mwaka 2030, kama utafanikiwa kufika.
Na Mungu je.!? ambaye kwa maelezo yako "Mara nyingi Mungu anamchagua mtu ambaye kwa hekima na macho ya kibanadamu hafai ila ndo yeye kashamchagua" !?..Je, ww Unafaham anachokifiria Mungu kwa miaka hiyo mitano Hadi "Samia awe Rais "kwa miaka hiyo mitano!?Sijajichanganya
samia anaenda kishinda kwa njia zozote zile ccm kamwe haiwezi kushindwa kupitia sanduku la kura hilo unatakiwa ufahamu