GE2025 Namuona Samia Suluhu akitawala muhula wa 2025 mpaka 2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kama hakutakuwa na reforms ccm itaongoza milele!
 
Wewe unatumia hisia na fantasy huwezi nielewa
Wengi mnapenda kusikia mambo yanayowafurahisha au mnayoyapenda na sio ukweli
Ndugu Dennis Robert Shughuru, kama mimi natumia hisia na fantasy wewe utakuwa unatumia nini basi..?

Should I be wrong kusema kuwa wewe ndiye hasa una - fantasise issues for your own political gains..?

Nimekukatalia kwa hoja, lakini wewe unajibu kijumla jumla kwa kutumia sweeping statements...

I have no problem na Mama Kuzimkazi as a person. But, hana uwezo ktk nafasi hii aliyonayo sasa. Anyone unbiased can easily justify this. She is just there today by coincidence. She doesn't deserve to be there any longer. Hizi sio feelings wala fantasies. It's a situation which can be justified by any person with sound and unbiased mind...

However I agree with you about one thing. Kuwa, sometimes power is taken by all possible means whether by hooks or crooks...

Lakini wale unaotaka uwatawale wanapogundua kuwa unatumia njia za kiovu kujipatia madaraka ya kuwatawala, it's time when opposition against you stongly rises. Ikifikifia hatua hii, two sides opposing each other, ndiyo wakati ambapo hutakiwa kuwepo kwa mediator....

The mediator can a reknowned person or God himself in a human shape/form...

Hapa Mungu kama mighty power, anapofanya mediation huangalia HAKI YAKE maana yeye ni Mungu wa HAKI. Hiki ndicho ambacho umeki - miss ktk article yako ndefu hapo juu badala yake kwa kuwa nia yako ni kufanya biased analysis kuipendeza nafsi yako na kile moyo wako utakacho umejikuta umepotoka na kujichanganya kwingi...

Hoja yangu kwako it's not based on my personal unjustified feelings or fantasies. It's based on justiable and undeniable facts...

Na kumbuka kuwa, kiongozi mwenye nia njema na watu wengine hawezi kupitia njia za hovyo, za mkato zinazovunja taratibu na kuumiza wengine ili kujipatia mamlaka na madaraka ya kuongoza umma...

Kiongozi wa namna hii is always termed as a THIEF and CORRUPT ambazo ni tabia za shetani 100%...

Na ndo kusema kuwa, wewe ndiye hasa ume fantasise hii ishu just because you're part of them...

I say it again and again: Bi Samia Suluhu Hassan hawezi kuwa Rais wa Tanganyika comes 2025 or next year. Mark this covenant today...!!
 
Political gain ipi ilihali mimi sina cheo chochote serikalini na sina mpango wowote wa cheo sababu uta-comprimise harakati zangu za Urais
 
Umeandika vizuri Sana mwenye akili amekuelewa.

Ukweli ni kwamba yeyote ambae anadhani anamhukumu SSH kwamba sijua hivi au vile hasa wa huko CCM na wale wanafiki wa Upinzani ni wanapoteza energy zao Bure maana hakukiweka hapo ,aliyekuweka ndio atamtoa Kwa njia anazojua Kwa sababu hakuna malaika tena unaweza sema walau na SSH.

Fikiria kipindi Cha Mwendazake au Nyerere jinsi ukatili ulikuwa na hakuna habari kutoka kirahisi ila wao walipata bahati ya kupendwa tuu.

Kwa mazingira ya Tanzania Mabadiliko yataletwa na wakati na watu wengine ila sio kutegemea Wanasiasa wa Upinzani, sidhani badala yake CCM ndio italazimika kufanya hayo Mabadiliko.

Otherwise watu watafute ugali wao na kuombea viongozi
 
Mabadiliko lazima yaje ila sio kwa namna watu wengi wanavyodhani
 
BWana Mdogo unajitahidi sana kuandika vizuri. Jitahidi utumie kipaji chako kushiriki yale mashindano ya uandishi wa Insha kwa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika. Au mashindano yanayofanania hayo. Ukiandika vitu vya kueleweka nitakushika mkono.
 
Political gain ipi ilihali mimi sina cheo chochote serikalini na sina mpango wowote wa cheo sababu uta-comprimise harakati zangu za Urais
Does it matter...?

Hii sidhani kama hii ni ishu ya kuijadili hapa...

Tunajadili mambo ya kisiasa na wanasiasa ambayo yana muathiri kila mmoja wetu ktk nyanja zote za maisha yetu ya kila siku...

Uwe na position fulani serikalini au usiwe nayo it doesn't signifie anything kufanya judgement ya kuwa wewe ni nani....

What I know ni kuwa wewe ni Mtanzania, na kujadili siasa ni haki yako kwa sbb uko responsible kushiriki ktk kufanya maamuzi ya kisiasa mf. kupiga kura kuchagua viongozi wako. Jadili haya mambo ukiwa kwenye position hii...

Kwa hiyo, kama una la kusema kwenye mjadala huu wa kisiasa uliouanzisha mwenyewe, say it tukujibu...
 
Umentuhumu mimi nagain nikakumbusha mimi ni sawa na mwananchi wa kawaida ambaye sifaidiki direct na utawala huu Kama ni changamoto namimi napitia Kama watu wengine wa kawàida

Nimeongelea ule uhalisia ambao upo hata samia asipogombea unadhani mtawala mwingine wa ccm anaweza badilisha haya mambo jibu ni hapana usishangae watu wakamkumbuka samia kama ambavyo wanamkumbuka magufuli, na kipindi cha magufuli wakawa wanamkumbuka kikwete
 
Mashindano ya insha sio level zangu sio swala la kudharau hapana sio level zangu.
Nipò kwenye harakati za Urais wa Tanzania
 
Hata tukibeti Samia hata akishinda wahuni wenzake watamuua kama walivyoshirikiana kumua Dkt Magufuli. Yaani there is no way Samia aka survive na sababu ukiangalia mazingira aliyojitengenezea kwanza ya kuonesha alimuua Dkt Magufuli, lakini pia yupo na kundi la wahuni ambao wanataka urais mapema na yeye anawachelewesha ndiyo maana huyu hafiki 2030 atakufa tu
 
Nachokushauri usiamini sana miujiza
Mimi simsupport samia wala ccm ila nimeongelea ule uhalisia ambao watu wengi hawapendi
Mimi sio kuamini wa miujiza,nitoe huko...
Na kutotawala hakuhusuani na miujiza mbona ni kitu simple ,ht magu aliambiwa utakufa kwani alipokufa ulikuwa miujiza?

Namwamini Mungu tu siowanadamu na ndiye msemaji wa mwisho!

Narudia it LL never happen
 
Mimi sio kuamini wa miujiza,nitoe huko...
Na kutotawala hakuhusuani na miujiza mbona ni kitu simple ,ht magu aliambiwa utakufa kwani alipokufa ulikuwa miujiza?

Namwamini Mungu tu siowanadamu na ndiye msemaji wa mwisho!

Narudia it LL never happen
Unavyosema it will never happen bila kusema sababu moja, mbili, tatu basi lazima tuseme unaamini miujiza

Minasema samia ataongoza kuanzia mwaka 2025 mpaka 2030 sababu sioni mikakati genuine kutoka kwa vyama vya upinzani yenye lengo la kumzuia yeye na ccm

Kumbuka ili ushinde unahitaji mbinu
 
Umentuhumu mimi nagain nikakumbusha mimi ni sawa na mwananchi wa kawaida ambaye sifaidiki direct na utawala huu Kama ni changamoto namimi napitia Kama watu wengine wa kawàida
Acha kuona watu kama wajinga hivi....

Maandishi yako (unless uwe umeandikiwa tu na mtu mwingine) yanathibitisha pasipo hata chembe kuwa wewe una upande na hivyo unapata political gains kuupigia debe upande wako...

NOTE: Ukitaka kunifahamu Mimi, nakuhakikishia Mimi ni shabiki na mpenzi wa CHADEMA japo sina kadi ya uanachama. Nawapenda na nampenda zaidi mwamba Tundu Lissu..

Na kupata political gains si lazima uwe na cheo fulani cha kisiasa serikalini. Who knows? Pengine ndo unakitafuta sasa...?

Lakini nakuuliza tena, does it matter?

Nimekuambia hata ukiwa raia wa kawaida, una haki zote kutoa maoni yako juu ya siasa na viongozi wa kisiasa na kuwa na upande unaoushabikia..

Kwangu mimi, I don't care despite the fact that I respect your opinions though you might be wrong 100%...!
Nimeongelea ule uhalisia ambao upo hata samia asipogombea samia unadhani mtawala mwingine wa ccm anaweza badilisha mambo jibu ni hapana
1. Na Mimi nakuambia uhalisia uliopo na kamwe sio longo longo zenu wana CCM...

2. As for now, tunachohitaji ni nchi na taifa letu kufanya major electoral & constitutional reforms Ili ku - rejuvenate mfumo wetu wa uchaguzi kuwa HURU, HAKI, WAZI na UNAOAMINIKA...

3. Huyo kiongozi kaama hatasimama mabadiliko tuyatakayo kwa hiari, basi tutamlazimisha afanye kwa nguvu. Kumbuka, sisi umma ndiyo PEOPLE'S POWER yenyewe (Ibara ya 8 ya Katiba ya JMT ya 1977)

4. Na kukiwa na mazingira huru, ya haki, ya wazi na ya kuaminika ya chaguzi zetu, nakuhakikishia kuwa, mtu yeyote mtakayemweka huko CCM kama mgombea wenu kamwe hawezi kushinda hata kama CHADEMA wataweka jiwe kushindana naye..!
 
Eti utalazimisha mabadiliko ya nguvu ilihali umejificha kwenye jina bandia
Watanzania ebu kuweni serious acheni fantasy
Mfano watu wanataka kuku-support wanaanzaje sababu hawakujui unatumia jina bandia

Mimi nilivyoanza harakati za Urais sikua na jinsi imenibidi nitumie majina yangu yote na picha yangu genuine ntakua mtu wa ajabu napambania jambo lenye maslai ya umma alafu natumia jina fake

Tumia jina halisi kama mimi kwenye kuponda naponda na kusifia nasifia siogopi

Mambo mazuri hayaji kama zawadi hakuna mtu aliyepigania haki ilihali amejificha kwenye majina bandia

Mfano kwenye uzi nimesema wazi ccm huwezi washinda kwa box la kura huo ni ukweli na sio kujikomba

Mimi sipo ccm wala chadema ila wako wanaoamini wapinzani wapewe nchi yaani hawa wakina mbowe na zitto bado unaamini ni wapinzani
 
Eti utalazimisha mabadiliko ya nguvu ilihali umejificha kwenye jina bandia
Kama hii unaona ni ajabu, basi sitakuwa na kosa lolote kukuita kuwa ni Mjinga 100%....!

Siku zote ktk mazingira maalumu, hii imekuwa ni mbinu mojawapo ya kivita ili adui asikutambue kirahisi...

Kwa Kiingereza na ktk lugha ya kijeshi hii huitwa "camouflage.."
Watanzania ebu kuweni serious acheni fantasy
Mfano watu wanataka kuku-support wanaanzaje sababu hawakujui unatumia jina bandia
1. Naona umekariri tu neno la kiingereza "fantasy" kiasi ambacho hata unashindwa kulitumia katika context sahihi..

2. Katika watanzania milioni 65 you don't need to know their names. All you need to know na kutambua mawazo yao kama yanakwenda samba na yako. Hiyo ndiyo inakuwa support...!
Mimi nilivyoanza harakati za Urais sikua na jinsi imenibidi nitumie majina yangu yote na picha yangu genuine ntakua mtu wa ajabu napambania jambo lenye maslai ya umma alafu natumia jina fake
It's you. It's your choice...

Hata mimi kuwa na unanimous ID sijavunja sheria yoyote, it's my choice. In the right time and the right place unaweza kunifahamu tu. Kwa sasa chukua mawazo yangu, ukiyapenda. Kama huyapendi, throw them away...

Hakuna anayekulaumu wala kukuhukumu kwa hilo...

Tunaheshimu uhuru wako na maoni yako. Nothingmore, nothingless...!
Tumia jina halisi kama mimi kwenye kuponda naponda na kusifia nasifia siogopi
No crime, I say it again..

Jina lako liwe halisi au unanimous unalijua wewe. Kwangu mimi halina maana yoyote. Mimi natazama hoja ya mtu, naijadili kwa aidha kusapoti au kupinga, na sio jina lake kwa sbb halina maana ktk muktadha huu ktk jukwaa hili. Umeelewa sasa..?

Kumbuka, na nasisitiza tena kuwa, among millions of people, names don't matters. What matters is how many are they supporting you and your plans...

Kwa mfano, unadhani Tundu Lissu na CHADEMA wananijua mimi? No, they don't hata kama ningejiita kwa jina langu. Lakini wanaposoma mawazo yangu, wanatambua kuwa we are supported by ndugu The Palm Beach..
Mambo mazuri hayaji kama zawadi hakuna mtu aliyepigania haki ilihali amejificha kwenye majina bandia
Really..?

May be sometimes. Not always p...
Mfano kwenye uzi nimesema wazi ccm huwezi washinda kwa box la kura huo ni ukweli na sio kujikomba
Kwa mazingira haya na leo hii, may be you're very right...

Kwa kauli yako hii, sasa ni wazi unaelewa kwanini kuna major campaign ya NO REFORMS NO ELECTION. Sababu ni hii unayoisema hapa...!!
Mimi sipo ccm wala chadema ila wako wanaoamini wapinzani wapewe nchi yaani hawa wakina mbowe na zitto bado unaamini ni wapinzani
Very low...

Tunataka ELECTORAL & CONSTRUCTIONAL REFORMS as quick as possible...

Kwa kuwa na mfumo bora wa chaguzi zetu, hata wewe unayesema unautafuta u - Rais utakuwa kwenye position nzuri ya kuingia kwenye ushindani..

Na kama wewe si mwanachama wa chama chochote cha siasa, unaweza ku - contest kama PRIVATE CANDIDATE..

Unasemaje hapo..?
 
Ooh
Sawa tunaongea kutoka angle tofauti ndo maana
Anyway muda utaongea, tutarudi hapa,ndo kwanza kumekucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…