GE2025 Namuona Samia Suluhu akitawala muhula wa 2025 mpaka 2030

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mwaka huu hakuna UCHAFUZI
 
Usijiuliza kwanini serikali inaihofia sana twitter na sio jamiiforums ni kwa sababu kule watu wetu wanatumia majina yao ya asili hata wakipush jambo agenda ni rahis watu kuwa-support

Watu wanataka kukujua in real person ili wakusupport

Ni haki yako kutumia I'd fake sijasema umevunja sheria ila nakuelezea uhalisia ambao watu wengi hawapendi kuusikia wa huku jamiiforums
 
Hongera Uzi mzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…