Wahuni lazima wabadilishane na Lissu: wao waende Segerea, Lissu arudi mitaani.Hii siku nitafurahi kwa kulia machozi na ndiyo Tanzania itakapopata uhuru wake wa wa kweli
Mungu akiamua kitu hakuna wa Kumpinga imebaki muda tu,
Mungu nipe maisha marefu nikalishuhudie hili
Tundu Lissu ni lulu ya taifa.Hii siku nitafurahi kwa kulia machozi na ndiyo Tanzania itakapopata uhuru wake wa wa kweli
Mungu akiamua kitu hakuna wa Kumpinga imebaki muda tu,
Mungu nipe maisha marefu nikalishuhudie hili
Haya mambo ya fujo nadhani yatamuharibia Lisu, inaweza ndiyo ikamfanya apotee mazima kwenye siasa. Mwanzo walikuwa wanamtuhumu kwa maneno aliyoyatamka tu lakini sasa hii ataunganishiwa kwenye kesi yake.Tundu Lissu ni lulu ya taifa.
Thubutu,na yeye ndiye mwenye uwezo wa kusema watu watulie na wakatulia siyo kimama chenu hichoHaya mambo ya fujo nadhani yatamuharibia Lisu, inaweza ndiyo ikamfanya apotee mazima kwenye siasa. Mwanzo walikuwa wanamtuhumu kwa maneno aliyoyatamka tu lakini sasa hii ataunganishiwa kwenye kesi yake.
Wao ndio wamejitafutia kwa kuendea kumsotesha Jela na kumuwekea makamera na kumuweka solitary confinement.Haya mambo ya fujo nadhani yatamuharibia Lisu, inaweza ndiyo ikamfanya apotee mazima kwenye siasa. Mwanzo walikuwa wanamtuhumu kwa maneno aliyoyatamka tu lakini sasa hii ataunganishiwa kwenye kesi yake.
Sikupingi. Lissu anastahili nafasi hiyo.Hii siku nitafurahi kwa kulia machozi na ndiyo Tanzania itakapopata uhuru wake wa wa kweli
Mungu akiamua kitu hakuna wa Kumpinga imebaki muda tu,
Mungu nipe maisha marefu nikalishuhudie hili
Apewe uwaziri mkuu halafu huyo mama aendelee kua rais tupate katiba bora na tume nzuri ambayo kura ya mwananchi itakua na nguvu ya kumchagua amtakayeWao ndio wamejitafutia kwa kuendea kumsotesha Jela na kumuwekea makamera na kumuweka solitary confinement.
Lissu aachiwe tukae itengenezwa serikali ya mpito itakatosimamia uundwaji wa KATIBA MPYA halafu ndio tuingie kwenye uchaguzi HURU na wa HAKI.
Hadithi ni hizi hizi sijui tokea lini; "fujo, fujo, fujo"!Haya mambo ya fujo nadhani yatamuharibia Lisu, inaweza ndiyo ikamfanya apotee mazima kwenye siasa. Mwanzo walikuwa wanamtuhumu kwa maneno aliyoyatamka tu lakini sasa hii ataunganishiwa kwenye kesi yake.
Huo muda wataupata wapi? Vimwananchi vimekaza mpaka mazer atoke!Haya mambo ya fujo nadhani yatamuharibia Lisu, inaweza ndiyo ikamfanya apotee mazima kwenye siasa. Mwanzo walikuwa wanamtuhumu kwa maneno aliyoyatamka tu lakini sasa hii ataunganishiwa kwenye kesi yake.
Tatizo siyo Samia wala Lissu, tatizo ni mifumo yetu hasa ya kiuchumi kuwa bado inawanufaisha mabeberu, hata Lissu akipewa nchi mambo ni yaleyale. Na huwezi kujitenga na hao mabeberu kwani hutoweza kuiendesha nchi na utawekewa vikwazo vya kila aina.Hadithi ni hizi hizi sijui tokea lini; "fujo, fujo, fujo"!
Watu wanatafuta HAKI, nyinyi mnaziita "fujo"
Hizo fujo zingetoka wapi kama nyinyi wenyewe (nakuona wewe kuwa chawa wa Samia) mngefuata tu ushauri mliopewa tokea mwanzo kabisa: Kufanya marekebisho madogo tu, ili waTanzania waweze kushiriki katika uchaguzi wa viongozi wao.
Sasa wewe hapa unaimba kama kasuku tu "fujo, fujo" bila ya kujuwa hizo fujo kazisababisha nani.
Mnajua madhara ya haya maandamano kisiasa na kiuchumi?T
Thubutu,na yeye ndiye mwenye uwezo wa kusema watu watulie na wakatulia siyo kimama chenu hicho
Hii hoja kuichambua sawasawa itakupa mzigo wa kulinganisha madhara ya maandamano haya kisiasa na kiuchumi na madhara ya uongozi wa CCM kisiasa na kiuchumi.Mnajua madhara ya haya maandamano kisiasa na kiuchumi?
fallacy of consequentialism.Hii hoja kuichambua sawasawa itakupa mzigo wa kulinganisha madhara ya maandamano haya kisiasa na kiuchumi na madhara ya uongozi wa CCM kisiasa na kiuchumi.
Ukibishana na watu wanaosema kuwa maandamano haya ni lazima ili kuitoa CCM, na kwamba watu wana haki ya kuandamana, huwezi kushinda ligi hii.
Ukianza na madhara ya watu kutekwa na kupotezwa tu, uhai wa watu, huu hauna thamani ya kisiasa na kiuchumi.
Elezea fallacy ya consequentialism ni nini, tuelewe kuwa unaielewa. Hujatumia tu maneno bila hata wewe mwenyewe kuielewa.fallacy of consequentialism.