Unachokitaka ni kuwa watumie njia yoyote ilimradi amiri jeshi mkuu aondoke.Elezea fallacy ya consequentialism ni nini, tuelewe kuwa unaielewa. Hujatumia tu maneno bila hata wewe mwenyewe kuielewa.
Halafu tuoneshe hiyo fallacy nimeifanya wapi na vipi.
Wapi unapata ujinga huu?Unachokitaka ni kuwa watumie njia yoyote ilimradi amiri jeshi mkuu aondoke.
Hata Jeshi halitaki hivi ila Mama Abdul na Serikali yake akina Msigwa wanaona aibu au ni Ujinga au hofu ya kuwa wafungwa.Wapi unapata ujinga huu?
Hebu weka andiko langu moja linalokupa uhalali wa kusema hivi.
Kitu cha kwanza, mimi napinga mapinduzi ya kijeshi.
Nimepinga kwa muda mrefu na mpaka leo napinga.
Mpaka hapo ushafeli.
That is neither here nor there.Hata Jeshi halitaki hivi ila Mama Abdul na Serikali yake akina Msigwa wanaona aibu au ni Ujinga au hofu ya kuwa wafungwa.
Nadhani nilisoma mahali kuwa ikiwa maandamano hayatamtoa Samia basi hayana maana ikiwa si wewe uliyesema hayo, basi samahani na naomba radhi.Wapi unapata ujinga huu?
Hebu weka andiko langu moja linalokupa uhalali wa kusema hivi.
Kitu cha kwanza, mimi napinga mapinduzi ya kijeshi.
Nimepinga kwa muda mrefu na mpaka leo napinga.
Mpaka hapo ushafeli.
Afadhari tuchome inchi yote tuanze upya kuliko kutawaliwa na hawa panyaMnajua madhara ya haya maandamano kisiasa na kiuchumi?
Lisu is the threat kwa utawala ndiyo maana yupo ndani na huenda hii kadhia ikamsababishia maafa zaidi ikiwa athari za hizi fujo hazijaleta manufaa kwake.Lissu hakufaa kuwa gerezani hadi sasa sasa jama uchaguzi wa Tanganyika umeharibika NRNE imefanikiwa kwa asilimia π―.
Wapi?Nadhani nilisoma mahali kuwa ikiwa maandamano hayatamtoa Samia basi hayana maana ikiwa si wewe uliyesema hayo, basi samahani na naomba radhi.
Wewe sasa unatafuta njia ya kutokea tu.Tatizo siyo Samia wala Lissu, tatizo ni mifumo yetu hasa ya kiuchumi kuwa bado inawanufaisha mabeberu, hata Lissu akipewa nchi mambo ni yaleyale. Na huwezi kujitenga na hao mabeberu kwani hutoweza kuiendesha nchi na utawekewa vikwazo vya kila aina.
Wao ndio wamejitafutia kwa kuendea kumsotesha Jela na kumuwekea makamera na kumuweka solitary confinement.
Lissu aachiwe tukae itengenezwa serikali ya mpito itakatosimamia uundwaji wa KATIBA MPYA halafu ndio tuingie kwenye uchaguzi HURU na wa HAKI.
π― π..TAL angekuwa nje haya maandamano yangefanyika kabla kura hazijapigwa, na uchaguzi ungesambaratika. Wananchi walianza kumuelewa hoja zake.