Namuonea huruma mume wake

Namuonea huruma mume wake

Wote hapo mnadanganyana na kupoteza mda tu ila kuna watu hua wanachat for fun, siku zikifika huwaoni, wengine kuchepuka kawaida.

Umewahi tu kuhitimisha, tumianeni picha. Uje na mrejesho 😂
 
Fanya yote lakini kumbuka kuna kupakana mafuta usije kutaka kurusha ngumi mwenye mali atakapokuwa anataka jambo lake lifanikiwe
 
Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la. Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana akasema hawezi kwa sababu pia anafahamiana vzuri na mke wangu so likitokea lolote itakuwa soo mbaya sana. Alivyosema vile sikuona haja ya kufukuzana naye, hata hivyo urembo wake haukuwa wa kunikatisha usingizi kivile. Tukabaki tunawasiliana hapa na pale. Sasa siku za karibuni nikaona amejiunga tiktok kwa jina lingine tofauti na nililozoea, ila katupia picha kadhaa mle. Nikawa nawaza hizi picha mbona kama zake? Na mimi nikafungua akaunt tiktok na mimi nikaweka ID fake na sikuweka picha. nikamuunga, tukaanza kuchat tiktok. Taarifa zote alizonipa kumuhusu nyingi zilikuwa sahihi kasoro tatu tu. Uongo wa kwanza, akasema yeye yupo tu mtaani hafanyi kazi yoyote. Pili, akadanganya kuwa yeye hajaolewa, aliolewa ila mumewe alifariki kwaajali. Hii iliniacha hoi maana mumewe hadi kazi yake naijua. Tatu akadanganya jina lake kakomaa na hilo jina lililopo Tiktok. Sasa nikamtongoza humo humo. Amenikubalia, ila anataka nimtumie picha anione ndo tukutane. Nikamuomba namba amenipa ile ile niliyo nayo. Tukichat yaani kama namchelewesha mpaka vijiwe vya kwenda kuburudika tumekubaiana sasa anashangaa mbona simuiiti? Sasa mm nimeamua picha simtumii, na simu simpigii maana namba zangu anazo. Namuonea huruma mume wake siku akijua mkewe kashamtamkia kifo tena ya ajali wakati yupo na anadunda mtaani
Hizi stori ni za kusimuliana kijiweni tu na wenzako huko ukamaliza, sio kuleta huku.
 
Tatzo umeanzisha mwenyewe ulimtongoza wa nn achana na wake za watu kaka utakuja upakwe mafuta

Acha ufisi,kama yote hayo unayajua ulafi wako wote huo bado wanini?
 
Ndio wapi uko TikTok account?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Roho inakuuma sana kumfuatili umekufa umeoza alafu una woga.
 
🤣😂🤣😂😂🤣
 
Kuna mdada nilifahamiana naye, kazini kwake siyo mbali na kwetu, so kwenye pita pita ndo nikamfahamu, kuna wakati changamoto za usafiri huwa nampa lifti baadhi ya siku. Kama ujuavyo wanaume, nikachokoza nione vp atakubali au la.

Akaniambia yeye ameolewa na ana mtoto. Nikaendelea kumbana akasema hawezi kwa sababu pia anafahamiana vzuri na mke wangu so likitokea lolote itakuwa soo mbaya sana. Alivyosema vile sikuona haja ya kufukuzana naye, hata hivyo urembo wake haukuwa wa kunikatisha usingizi kivile.

Tukabaki tunawasiliana hapa na pale. Sasa siku za karibuni nikaona amejiunga tiktok kwa jina lingine tofauti na nililozoea, ila katupia picha kadhaa mle. Nikawa nawaza hizi picha mbona kama zake? Na mimi nikafungua akaunt tiktok na mimi nikaweka ID fake na sikuweka picha. nikamuunga, tukaanza kuchat tiktok.

Taarifa zote alizonipa kumuhusu nyingi zilikuwa sahihi kasoro tatu tu. Uongo wa kwanza, akasema yeye yupo tu mtaani hafanyi kazi yoyote. Pili, akadanganya kuwa yeye hajaolewa, aliolewa ila mumewe alifariki kwaajali. Hii iliniacha hoi maana mumewe hadi kazi yake naijua. Tatu akadanganya jina lake kakomaa na hilo jina lililopo Tiktok.

Sasa nikamtongoza humo humo. Amenikubalia, ila anataka nimtumie picha anione ndo tukutane. Nikamuomba namba amenipa ile ile niliyo nayo. Tukichat yaani kama namchelewesha mpaka vijiwe vya kwenda kuburudika tumekubaiana sasa anashangaa mbona simuiiti? Sasa mimi nimeamua picha simtumii, na simu simpigii maana namba zangu anazo.

Namuonea huruma mume wake siku akijua mkewe kashamtamkia kifo tena ya ajali wakati yupo na anadunda mtaani.
Hahaha
 
Mkuu una gali na unakataliwa kuna sehemu unafeli, ukiwa na gari mwiko kutongoza mwambie akupe kampani au tafuta namna nyingne ya kumwambia
 
Back
Top Bottom