Namuonea huruma mume wake

Wote hapo mnadanganyana na kupoteza mda tu ila kuna watu hua wanachat for fun, siku zikifika huwaoni, wengine kuchepuka kawaida.

Umewahi tu kuhitimisha, tumianeni picha. Uje na mrejesho πŸ˜‚
 
Fanya yote lakini kumbuka kuna kupakana mafuta usije kutaka kurusha ngumi mwenye mali atakapokuwa anataka jambo lake lifanikiwe
 
Hizi stori ni za kusimuliana kijiweni tu na wenzako huko ukamaliza, sio kuleta huku.
 
Tatzo umeanzisha mwenyewe ulimtongoza wa nn achana na wake za watu kaka utakuja upakwe mafuta
 
Acha ufisi,kama yote hayo unayajua ulafi wako wote huo bado wanini?
 
Ndio wapi uko TikTok account?
KAZI ni kipimo cha utu
 
Roho inakuuma sana kumfuatili umekufa umeoza alafu una woga.
 
πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Your browser is not able to display this video.
 
Hahaha
 
Mkuu una gali na unakataliwa kuna sehemu unafeli, ukiwa na gari mwiko kutongoza mwambie akupe kampani au tafuta namna nyingne ya kumwambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…