Anamsusia guruwe mihogo? wacha akumalizie shamba,ivi ukiwa kama mwanamke vp house girl anakua na mawasiliano ya kupitiliza na mumeo? alikua wapi mda wote? hizo safari za kwenda na mashoga harusini sijui kitchen party na mialiko isiyo ya lazima,nyumba nzima house girl anasafisha mpaka chumba unacholala na mumeo house girl anasafisha,nguo mpaka boxer ya mumeo house girl anafua sasa kabakisha nini ambacho wewe mama unacho house girl hana na inawezekana house girl mwingi wa michezo kuliko wewe mama anajituma kwenye sita kwa sita hatari,mwambie shosti ajiulize wapi amekosea na niaibu kumuachia nyumba house girl anajitukanisha...