namwachia house girl nyumba nimechoka

namwachia house girl nyumba nimechoka

Loly

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
522
Reaction score
221
Na wasiwasi ananiibia mume bora nimuachie kabisa.
Nimepewa ujumbe niwaletee!
 
Kwani anashindwa nini kumfukuza huyo hg? Mwambie amtimue, atafute mwingine, kama ataona wanamwibia mmewe buc asiwalete akae yeye hom, eti uondoke kisa hg? Kichekesho
 
nikupe dawa umpe amroge house gal? Au kamchoka mumewe?
 
Ni ajabu leo tembo kalemewa na mkonga wake
 
Mkumbushe huyo alokutuma kuwa Mwanamke Mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe. Wasiwasi tu umfanye amuachie nyumba mwanamke mwenzie??

Asituchoshe akili hapa akha!
haya nitamwamia lakini inauma
 
Huyo hausigeli anastahili kila sifa ikiwa kampagawisha mzee na wewe pamoja mpaka unaikimbia nyumba, umeshindwa vimbwanga vyake. Hii kali!
 
Utakuwa wewe mwenyewe.
Kama reception yako itakuwa inafanana na avtar yako basi bila shaka umeshakamata kidosho wa maana sasa unamtafutia sababu mume wako.
 
hebu atulie huko tena awe mpole kabisa aamue kwa busara mwenzie hapa alikuja na kubwa kuliko hili hgel katiwa mimba na mume lakin hadi leo bado yupo nyumbani kwake hajaondoka kumwacha binti so asituboe.

amtimue kisha abaki na mumewe, asiangalie mazingira kwanza kwani solution itakuja tu, yaani ishu za nani atanlelea watoto aziweke kando. awe jasiri tu ataweza.
 
haya nitamwamia lakini inauma
Kwa nini uhuruhusu wasiwasi ukuumize badala ya kutafuta facts ili ukiumia uumie kihalali?? Au unamuhofia/ogopa/mnyali huyo mdada wa kazi kwa mumeo?? kuna kutojiamini hapa kama mke halali na mwanamke anayestahili kummiliki mume.

Chunguza, njoo na ushahidi kuwa mumeo anamove na mdada wa kazi, tutakushauri but do not work on speculations
 
Vitani watu kama hawa wnaotaka kuachia wasaidizi wa kazi nyumba zao huwa tunapiga risasi ya kichwa maana wanafifisha mapambano. Maisha ni mapambano... Au hajawekeza ndo maana hana cha kupoteza? Kirahisi namna hiyo? Women of today... aggggggghhhhhh!!!!!!!!!
 
saa tatizo wapi jamani wakati mzee alikuwa anahitaji utamu mkeo hayupo basi bora nionje huyu huyu wa humu ndani...less expense!!
 
MwanajamiiOne, hivi ndo napenda kusikia kutoka kwako. Sio kuwa victim wakati wote. Kupanga ni kuchagua. Kwa kweli hadi mwaka huu uishe, utakuwa mwali wetu umeiva. I'm proud if u

Mtoa mada, unamuachia hgeli juu ya wasiwasi. Utawapunja na wa ofisini, ama huko wasiwasi hujapata? Ungeandika last will uwaachie kwa percentage wahasimu wote, kule bar anakokunywa kuna wahudumu, duka anakoshop, ofisini, na uweke sehemu ya 'na kadhalika' just in case manake surprise hazikosekani
 
Last edited by a moderator:
Aache tu sijui anamkomesha nani.
 
wanawake wengine bwana.....
Kituo cha mabasi ubungo hakijui?
Kwa nini asimrudishe kwao?

Yaani umuajiri, umlipe mshahara na kumhudumia halafu akupande kichwani umuachie nyumba? Au kamchoka mumewe?
 
huu ni ujnga yani we hausigel akukimbize kwenye nyumba yako?Dawa ya tatizo si kulikimbia, kabiliananalo...na hilo lijimume lipapa looh...:drama:
 
Mwambie akae na hg wake ili amuombe japo utundu kwenye vituzi aiwezekani ushidwe ujanja na house girl wake.
 
Anamsusia guruwe mihogo? wacha akumalizie shamba,ivi ukiwa kama mwanamke vp house girl anakua na mawasiliano ya kupitiliza na mumeo? alikua wapi mda wote? hizo safari za kwenda na mashoga harusini sijui kitchen party na mialiko isiyo ya lazima,nyumba nzima house girl anasafisha mpaka chumba unacholala na mumeo house girl anasafisha,nguo mpaka boxer ya mumeo house girl anafua sasa kabakisha nini ambacho wewe mama unacho house girl hana na inawezekana house girl mwingi wa michezo kuliko wewe mama anajituma kwenye sita kwa sita hatari,mwambie shosti ajiulize wapi amekosea na niaibu kumuachia nyumba house girl anajitukanisha...
 
Na wasiwasi ananiibia mume bora nimuachie kabisa.
Nimepewa ujumbe niwaletee!

Gangamala mama, zidisha utamu kwa mmeo mpe anacho taka mwenzio hausi gelo anatoa tiGo wewe unabana shauri yako
 
Back
Top Bottom