Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa nini uhuruhusu wasiwasi ukuumize badala ya kutafuta facts ili ukiumia uumie kihalali?? Au unamuhofia/ogopa/mnyali huyo mdada wa kazi kwa mumeo?? kuna kutojiamini hapa kama mke halali na mwanamke anayestahili kummiliki mume.haya nitamwamia lakini inauma
Na wasiwasi ananiibia mume bora nimuachie kabisa.
Nimepewa ujumbe niwaletee!