Namwambiaje huyu binti wa miaka 19 kuwa sina malengo nae?

Mbona kawaida sana hiyo? Wiki mbili ni chache sana. Wewe endelea naye soon akianza kuona rangi halisi atachoka au kuna possibility ataenda kwa rika lake sababu inaonekana wewe umemuacha mbali.


Huu uzi umejaa desperates kinyama au wazazi wengi. Eti unachezea mke mwema. Hahahah! Kuna nafasi kubwa ya kujiokotea under 20 anytime kuliko kuokota dodo chini ya muembe.
 
AAiseeeeh 🤔 kuna muda kichwa kinakua kifuniko Cha shingo tu
 
Muache kusagana. Wanawake siku hizi mnasagana na kuahidiana kuoana kisha mnataka sisi wanaume tuwasaidie kwenye maamuzi?
 
Du uhuru huu wa kuzungumza chochote ni hatari
 
Ajakupenda Ila anapenda Ndoa tu. Alafu wacha kufukuzia msichana muda mrefu na kudanganya Ndoa izo swaga za kizamani.
 
Ufumbuzi wa hiyo shida yako,ni rahisi sana muoe tu kama ulivyomuahidi,kumbuka ahadi ni deni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…