Vichekesho
Member
- Jun 20, 2024
- 66
- 3,277
Najua kwasasa rais Samia yupo Havana nchini Cuba, karibu kabisa na jimbo la Florida, jimbo ambalo Master Donald Trump the Great amepiga kura.
Naomba Rais wetu ampongeze kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Pia amwambie kuwa tunatarajia atakata misaada ya hovyo barani Africa ili tujifunze kutumia akili zetu kujitegemea.