Namwombea Mshahara zaidi 'Spin Doctor' wa Siasa za Tanzania na Matukio yote Muhimu ya Kihisia

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Ameshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu.

Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao Msaada Kontena Oysterbay kwa kuwa na Watu Mahiri ambao tayari wameshazijua, wamezishika Akili za Watanzania wote ( ukiniondoa Mimi KEROZENE tu ) mpaka kujua zinapoishia na ndiyo maana wanaziongoza watakavyo.

Na nasikia kuna 'Spinning' nyingine iko Jikoni inaandaliwa ili Kulifunga na Kulifunika hili la sasa ili la Mbowe sasa lisahaulike kabisa ili hata Hukumu yake ikitoka tusiipe sana Kipaumbele na tujikite katika hilo linaloandaliwa Kiufundi na Kimkakati kwa sasa.

Namtafuta mno Yule Rais wa Jirani aliyemwabia Rais wa Nchi nyingine ( nimeisahau Jina ) kuwa anaongoza Maiti tupu ambazo haziitambui na kwamba ndiyo maana hata nchi yake ipo ipo tu na haipigi hatua za Kimaendeleo kiasi kwamba hata Yeye na nchi yake hiyo pamoja na kupitia Changamoto nyingi za Kivita na Mauwaji ila wameshaiacha pakubwa hiyo nchi.
 
Aneshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu.

Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao Msaada Kontena Oysterbay kwa kuwa na Watu Mahiri ambao tayari wameshazijua, wamezishika Akili za Watanzania wote ( ukiniondoa Mimi KEROZENE tu ) mpaka kujua zinapoishia na ndiyo maana wanaziongoza watakavyo.

Na nasikia kuna 'Spinning' nyingine iko Jikoni inaandaliwa ili Kulifunga na Kulifunika hili la sasa ili la Mbowe sasa lisahaulike kabisa ili hata Hukumu yake ikitoka tusiipe sana Kipaumbele na tujikite katika hilo linaloandaliwa Kiufundi na Kimkakati kwa sasa.

Namtafuta mno Yule Rais ws Jirani aliyemwabia Rais wa Nchi nyingine ( nimeisahau Jina ) kuwa anaongoza Maiti tupu ambazo haziitambui na kwamba ndiyo maana hata nchi yake ipo ipo tu na haipigi hatua za Kimaendeleo kiasi kwamba hata Yeye na nchi yake hiyo pamoja na kupitia Changamoto nyingi za Kivita na Mauwaji ila wameshaiacha pakubwa hiyo nchi.
Wanaokamatwa akili ni wale wakutokea mtaa wa kijani TU, pengine na kutoka Yale matawi yake🏃.
 
Hakuna spin doctor yoyote. Anapambana na hali yake.
 
ha ha ha ha.bavicha mnamambo ,ngoja polepole awasemee ,kwanza.maana nyny mmepoteana
 
Aiseeeeee, hakuna namna zaidi ya kutenda haki. Monitor kaadhibiwa kwa kupiga kelele darasani.
 
Aneshatufanya tusahau Sakata la Mbowe, Ugaidi na Makomandoo wake na sasa tujikite zaidi katika Sakata la wana CCM wanaopendana akina Polepole, Nnauye na Bulembo lakini wenye Akili fupi tunafurahia na kudhani wana Ugomvi ( a.k.a ) Bifu.

Na hapa ndipo ninapoisifu Idara ya Mpare ya pale Makao Msaada Kontena Oysterbay kwa kuwa na Watu Mahiri ambao tayari wameshazijua, wamezishika Akili za Watanzania wote ( ukiniondoa Mimi KEROZENE tu ) mpaka kujua zinapoishia na ndiyo maana wanaziongoza watakavyo.

Na nasikia kuna 'Spinning' nyingine iko Jikoni inaandaliwa ili Kulifunga na Kulifunika hili la sasa ili la Mbowe sasa lisahaulike kabisa ili hata Hukumu yake ikitoka tusiipe sana Kipaumbele na tujikite katika hilo linaloandaliwa Kiufundi na Kimkakati kwa sasa.

Namtafuta mno Yule Rais ws Jirani aliyemwabia Rais wa Nchi nyingine ( nimeisahau Jina ) kuwa anaongoza Maiti tupu ambazo haziitambui na kwamba ndiyo maana hata nchi yake ipo ipo tu na haipigi hatua za Kimaendeleo kiasi kwamba hata Yeye na nchi yake hiyo pamoja na kupitia Changamoto nyingi za Kivita na Mauwaji ila wameshaiacha pakubwa hiyo nchi.
Jumatatu niliweka Post nikimtaka Spin Doctor atupishe siku ya jana ni muhimu kwetu ila la! MODS waliifuta haraka sana, baada ya kuiweka ikawa nikitaka kuifungua naambiwa siruhusiwi kuingia kisha baadaye ikatoweka!
EVERYBODY IS WELCOME TO JF of GT's,
THE MANAGEMENT HAS THE RIGHT OF ADMITANCE.
 
Kwahiyo kwa Lugha nyingine ni kwamba unaombea na Kuchochea kuwa na huu pia Waufute au? Acha Unoko tafadhali Ndugu sawa? Kila Mtu na Bahati yake hapa duniani.
Nyuzi za Spin Doctor zinalindwa na Mods, ni haohao.
 
Back
Top Bottom