kijukuu kindo
Member
- Sep 19, 2010
- 86
- 12
- Thread starter
- #21
unafamilia nzuri lakini naona unataka kulikoroga
Bw fabinyo yaambiwe usiyaone mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafamilia nzuri lakini naona unataka kulikoroga
unataka kumwoa ama? Namba ya nini unataka? Ama nawe ni yaleyale kutaka kumsaidia kama mie?
Hana mtu tena wewe ndie mwanaume pekee uliyebaki duniani?Kama unataka kuendekeza kutoka nje ya ndoa fanya bila visingizio visivyo na kichwa wala vidole.
Hehehe mzuri ehhhh?Mkeo ye mbaya?
safi sana, hata alshabab alianza kwa kuchoma toroli.
Jilipue tu si kila mtu anatakiwa kuandika historia ni wachache kama wewe na Mkwawa.
duh! Kongosho Bwana!
Unauliza makofi polisi??!!!!!
Fanya tukio lako la maana, tena mzalishe mpate na kumbukumbu. Nature lazima ibalansi ujue na sensa inaonesha wanamme ni wachache kuliko wanawake.
Hizi comments akimmega kweli kadhamiria mi napita tu..HONGERA kongosho mpe Maukweli huyu ki...dee..ndaa
Wana jf, naomba mnipe ushauri. Mimi kijana wa kama 35 yrs nina mke na 2kids. Imetokea kuna dada 1 ana umri wa kama 30yrs, amefiwa na mume kw ajali ya gari kama miezi 4 imepita, na walikua namtoto mmoja. Kwa bahati nzuri au mbaya huyu dada tunafanyakazi ofcsi moja na pia tunaishi mtaa mmoja. Ukweli ni kuwa hatukuwahi kuwa na mahusiano ya mapenzi kabla lkn baada ya kumpoteza mumewe amekua mpweke sana anawasiliana nami mara kw mara, ht nisipokua ofcn anajitahdi sana kupiga simu. Sasa anaomba niwe naye karibu kumsaidia ktk kubalance nature, nami nikimchek kweli najawa na huruma na natamani nimkubalie kwani ndo hvyo hana mtu tena. Ila ndo hvyo mie nina mke wangu tunapendana sn. Kwa kuwa nafanya nae ofc moja wanafahamiana pia na wife. Je! Nimkubalie huyu dada kumtimizia mahtaji kwa kumbanjua ama vp? Ni mtihani kwangu kwa vle dem ni mdogodogo flani halafu ni mzuri pia.
kwani ktk hiyo mawasiliano amekuomba mapenzi? au anawasiliana tu kawaida? kama hajakuomba mapenzi , usimkimbie, unachoweza kufanya ni kuwa nae karibu na kumchanganya na marafiki wengine wa kiume- hususan wasiooa. ukifanya hivyo atapata nafasi ya ku explore hawa wengine, kama kweli anatafuta replacememt. naamini ukifanya hivyo itamsaidia huyo mama hata kumpata mtu mwenye msimamo, hapa ninamaanisha kuwa kama ni watu wanaokuzunguka wewe manake watafanana na wewe, kama kweli unatabia njema.
angalizo; usimtafsiri vibaya eti anataka ukaribu wa mapenzi, huenda anakuwa wazi kwako kukueleza gap anayoiona kwa kumkosa mumewe nawe ukadhani anamaanisha wewe ndo uwe replacement. ni vizuri tukawaelewa wenye matatizo na kuwasaidia.Kama anakutaka kwakukwambia kwa kinywa chake, basi ni swala la kumuelewesha tu kuwa haiwezekani kwani haita msaidia yeye wala wewe
ninacho kiona hapa unatutangazi what you are planning to do in future basi, au sababu zilizo kufanya ufanye hayo uliyoyafanya kwa siri
Hana mtu tena wewe ndie mwanaume pekee uliyebaki duniani?Kama unataka kuendekeza kutoka nje ya ndoa fanya bila visingizio visivyo na kichwa wala vidole.
Hehehe mzuri ehhhh?Mkeo ye mbaya?
Jaribu kumshirikisha mkeo uone yeye atakushauri vipi? Huwezi jua mshirikishe mkeo bwana .
Huu ushauri umetulia.