kijukuu kindo
Member
- Sep 19, 2010
- 86
- 12
- Thread starter
- #81
mpe masharti akikubali mbanjue, sharti la kwanza kutunza siri, pili asijionyeshwe wazi, asipige simu mpaka umpigie, asitume message za mapenzi, asimuzoee mkeo, umweleze kuwa unampunguzia machungu wakati yeye anatafuta wa kuendelea naye
Asante mkuu ila ujuavyo mapenzi kikohozi. Anaweza akakolea, akanogewa akataka hata kuhamia. Hapa sasa ndo atafanya visa hata kumdhuru wife ili tu achukue usukani. NIMESHAURIWA HAPA JF NA WATU WENGI SANA KUWA NIACHE, INFACT WEWE TU NDO UMENIPA GO AHEAD. Nashukuru ila NIMEAMUA KAKA KUKAA NAYE KIMACHALE, JUST KAMPANY YA KAWAIDA BILA UKARIBU WALA PRIVACY YA 0-DISTANCE.